VANITHA: VIFO VIMENITOA FUNGATE
Stori: Mayasa MariwataMSANII Vanitha Omary aliyeolewa hivi karibuni, amesema vifo vya mfululizo vya wasanii wenzake vimemlazimu kuondoka katika fungate ili ashirikiane na wenzake katika shughuli za...
View Articlemainda kufanya mapinduzi ya injili.
STAA wa filamu Bongo ambaye aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ amepania kufanya mambo makubwa katika muziki wa Injili ili afike anga za kimataifa.Staa wa filamu Bongo,...
View ArticleWOLPER, UWOYA, LULU, NA PENNY UNAWEZA KUTANGAZA NDOA KWA UREMBO WAO KWA NJE...
Jitiririshe na pozi zao na unaweza kukubari kwa urembo wao kila mmoja ana sifa zake. Warembo awa ndiyo Social medias queens wa bongo kutokana na umaalufu wao unaotofautiana.a
View ArticleJE UREMBO WA KUJICHUBUA NI UREMBO?
Picha za hivi karibuni za Vera Sidika kwenye mitandao ya kijamiiSwala la kubadili rangi ya ngozi limekuwa kama msumari moto, kunao wanaoliunga mkono na wale wanaolipinga swala hilo katu hawawezi...
View ArticleMDADA ALIYEONEKANA KATIKA PICHA NA KOMBA AFUNGUKA, AZIMIA
SIKU chache zimekatika baada ya tukio la kusambaa mitandaoni kwa picha tata zenye pozi kati ya mheshimiwa Komba na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Angel. Angel Kissanga, mkazi wa Kinondoni jijini...
View ArticleMDADA ALIYEONEKANA KATIKA PICHA NA KOMBA AFUNGUKA, AZIMIA
SIKU chache zimekatika baada ya tukio la kusambaa mitandaoni kwa picha tata zenye pozi kati ya mheshimiwa Komba na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Angel. Angel Kissanga, mkazi wa Kinondoni jijini...
View ArticleSECRETARY UTAVAAJE NAMNA HII....NA KUWEKA MAPOZI KAMA HAYA..
Kama wewe ni Muumini/mlokole mwenye misimamo mikali..ukusiziangalie picha hizi na ishia hapa hapa! tusije tukalaumiana.Huyu ni msaidizi wa BOSS ..na inasemekana Boss wake ni mwanaume KAMILI...sasa...
View ArticleMREMBO ATEMBEA UCHI MBELE YA UMATI WA WATU..SINZA AFRIKA SANA
...AKIWA CHINI NIDO NJE. ...Akizua timbwili kwa wananchi waliokuwa eneo hilo. TIMBWILI! Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti ‘nido’...
View ArticleMSAADA PICHA MGONJWA ALIYEOZA KISHA KUTIMULIWA BUGANDO
Hali halisi ya makalio ya Joseph Luhogola (38),mkazi wa Kitongoji cha Nyabugera,Kijiji cha Mganza Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita ambapo Hospitali ya rufaa ya Bugando ya Jijini Mwanza baada ya...
View ArticleWACHEZA SHOW WA MALAIKA BEND WAWAACHA MASHABIKI WA DODOMA MDOMO WAZI...TAZAMA...
Wacheza show wa Mailaka bend walimsha mashabiki na kufanya burudani kunoga pale baada ya Christian Bella kushuka Jukwaani .... Hii ilikuwa pale Dodoma Carnival weekend hiiP
View ArticleTAZAMA PICHA HII YA HUYU MLIMBWENDE ILIVYOBADILISHWA
Hii ni Picha ya Mwana dada VERA SIDIKA ambae kwasasa ina TREND sana kwenye SOSHO MEDIA huko nchini Kenya...Hapo alikuwa anafanyiwa INTAVYUU kwenye kituo cha TV nchini humo...na hapo alikuwa anampa HAGI...
View ArticleHUYU NDIYE ANAYEFAIDI URODA WA AGNES MASOGANGE
kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare...
View ArticleYULE MWIZI MKUBWA ANAEWALIZA NA KUWATUMIA WATU WENGI SMS KWENYE FACEBOOK...
TOKA INBOX]JIHADHARINA HUYU MTU....Mnamo trh 27 nilitumiwa ujumbe inbox na mtu (msichana)aliyejitambulisha(kwa lughaya kiingeleza) kwa jina la ANITA DIDIER akidai amevutiwa na profileyangu na kutaka...
View ArticlePENY,JOKATE NA WOLPER WATOA SABABU ZILIZO WAFANYA KUACHWA NA DIAMOND,SOMA HAPA
Hadi hii leo Divas maarufu waliowahi kufunguka kiundani kuhusu kutoka na mwanamuziki huyu, na kwa nyakati tofauti kila mmoja wao alijaribu kufunguka kuhusu experience zao, pindi walipokuwa wanatoka na...
View ArticleNI ZAIDI YA LAANA: SHINDANO LA KUMTAFUTA MREMBO MWENYE HIPS KUBWA...!
Ijeoma Nnaj-Mshindi Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal...
View ArticleWAKUBWA TU, VIDEO YA WAKE ZA WATU AKIUZA URODA KATIKA MADANGURO
Hivi karibuni kituo cha K24 cha nairobi kilibaini kile ambacho watu wengi kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake za watu wanaofanya shughuli za kuuza miili yao mchana na usiku kurejea nyumbani kwenye...
View ArticleAIBU:JAY Z AONEKANA MATAA AKIWA AMEVAA NGUO YA KIDADA
Uchaguzi wa mavazi unahitaji umakini wa hali ya juu la sivyo wanaojua mavazi wanaweza kukuumbua wakati unadunda kama tenesi mtaani.Mr Hov, Jay Z ameripotiwa kuwa alikutwa mitaa ya jiji la New York...
View ArticleHUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEVALISWA PETE YA UCHUMBA NA BALOTELL....NI MZURI...
MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus. Mchezaji huyo...
View ArticleVIDEO, EXCLUSIVE INTERVIEW YA @SAMMISAGO NA DIAMOND BAADA YA TUZO ZA MTV...
Baada ya Tuzo za Mama zilizofanyika Durban South Africa, Nilipata nafasi ya kufanya Interview ya kwanza na Diamond kuhusu Tuzo hizo, mategemeo na kinachofuati kwenye muziki wake. Video iko hapa. Kwa...
View Article