Baada ya Tuzo za Mama zilizofanyika Durban South Africa, Nilipata nafasi ya kufanya Interview ya kwanza na Diamond kuhusu Tuzo hizo, mategemeo na kinachofuati kwenye muziki wake. Video iko hapa. Kwa lolote kuhusu kazi yangu weka comment chini ya video au Facebook,twitter na Instagram