$ 0 0 Wacheza show wa Mailaka bend walimsha mashabiki na kufanya burudani kunoga pale baada ya Christian Bella kushuka Jukwaani .... Hii ilikuwa pale Dodoma Carnival weekend hii