STAA wa filamu Bongo ambaye aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ amepania kufanya mambo makubwa katika muziki wa Injili ili afike anga za kimataifa.
“Naamini hakuna linaloshindikana kwa Mungu, isitoshe najikubali kwenye sauti, sijaona mwimbaji wa Kwaya anayeweza kunifunika, nina uwezo wa kuleta ushindani mkubwa katika fani hiyo na nitahakikisha najitangaza ndani na nje ili kuipeperusha vyema bendera ya nchi hii,” alisema.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
Akistorisha nasi, Mainda alisema kutokana na muziki huo kuonekana kufanya vizuri zaidi nyumbani kuliko nje, yeye anataka afanye zaidi katika levo za kimataifa.“Naamini hakuna linaloshindikana kwa Mungu, isitoshe najikubali kwenye sauti, sijaona mwimbaji wa Kwaya anayeweza kunifunika, nina uwezo wa kuleta ushindani mkubwa katika fani hiyo na nitahakikisha najitangaza ndani na nje ili kuipeperusha vyema bendera ya nchi hii,” alisema.