![]() |
MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus. |

Balotelli ameambatanisha picha na ujumbe usemao: “Amesema ndiyo.. Ndiyo muhimu zaidi katika maisha yangu. Hilo ndilo lilikuwa swali langu! Nakupenda, na furahia siku ya kuzaliwa kwao pia! Je t’aime my WIFE’.