Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Browsing all 2863 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu wa kuniridhisha kimahaba?

Recho akicheza na shabiki wake katika moja wa show zake nchini Akizungumza na Bongo5 leo, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA MWANAUME ALIYEBADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE

Najua baadhi yenu mtaanza kufikiria kwamba hii ninayowapa ni kamba, hakika sio na ni kitu cha kweli.Kwanza nahitaji muangalie kwa makini miguu ya mtu huyu, naamini tutaenda sawa, kama ulikuwa hufahamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO AUMBULIWA NA DAWA ZA KUONGEZA HIPS

JAMANI dada zetu jihadharini na dawa hizi za kuongeza hips na Inye gwedegwede...! Kumkosoa mwenyezi mungu sio vizuri..!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YULE MGANGA ANAYESEMA ANAWASAIDIA WASANII KUWANA PESA, AFUNGUKA NA KUSEMA...

 Dokta Kamdege mtaalamu wa Mitishamba na amekuwa kivutio kikubwa kwa mastaa waheshimiwa na wasanii mbalimbali Afrika mashariki na kati, huku akisaidia watu kupata pesa, kuolewa au kuoa kufanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO VANESA MDEE ALIVYOFANYA MAAJABU HUKO NIGERIA KATIKA SHOW YA...

Weekend iliyopita msanii wa Tanzania Vanessa Mdee a.k.a Vee Money alikuwa nchini Nigeria kwa ajili ya kuhudhuria na kutumbuiza katika show kubwa ya mara moja kwa mwaka, ambayo huwakutanisha wasanii wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AAMUA KUONESHA MGONGO WAKE..

Wema Sepetu akiwa ameacha mgongo wake wazi.Katika picha hizo, Wema anaonekana kujichora tatoo kibao kuanzia shingoni na kumfanya aonekane tofauti na alivyozoeleka jambo lililofanya wengine wamsifie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA KILICHOMO KWENYE NYUMBA YA MAKUMBUSHO YA CRISTIANO RONALDO.

Hivi karibuni mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliizindua tovuti yake mpya lakini pia Ronaldo amefungua nyumba ya makumbusho inayoonshe matukio mbali mbali Jumba hilo la makumbusho limepewa jina la ‘CR7...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA MKE WA MTU AMWAGA RADHI UKUMBINI

MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YA JIJINI HAYO .KIBAO KATA KWENYE BIRTHDAY YA HALIMA KIMWANA

 Hatarii..!!!CREDIT:WASAFI BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MWINGIRA: MAHAKAMA YAJAA WAUMINI WAKE

 Mtume na Nabii Josephat Mwingira.KESI namba 306/13 inayomkabili Nabii na Mtume wa Kanisa la Ephata la Dar, Josephat Mwingira, ya kuzaa na mke wa mtu, Alhamisi iliyopita iliunguruma mahakamani na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI GWAJIMA NDANI YA KASHFA NZITO, WASAIDIZI WAKE WAMPIGA MWANDISHI WA...

 Eliasi Mokiwa mwandishi anaedaiw kupigwa akiwa kazini na walinzi wa GwajimaMchungaji Josephat Gwajima na wasaaidizi wake wameingia kwenye kashfa nzito ya kumshambulia mwandishi wa habari Mkoani Tanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDIYE MSANII WA NIGERIA APIGA PICHA CHAFU KWA AJILI YA CHRISTMASS.

Msanii wa Nigeria aitwaye Maheeda anafahamika kwa tabia yake ya kupost picha za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mrembo huyo ameamua kutoka kitofauti kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je Unaweza Kumruhusu Mke Wako Kuvaa Kama Hivi Akiwa Nje ya Nyumba Yako?

Hata kama ni beach party, ili mradi tu iwe ni nje ya nyumba, je unaweza kumruhusu mtu wako avae kama hivi.Hebu fanya kunipa na sababu kwa jibu unatalotoa.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTARA-- SITAKI KUCHUNGUZWA

MWIGIZAJI, Wastara, aliyekuwa mke wa Sajuki (marehemu sasa), amewajia juu wale wote wanaomchafua jina kwa kuwaambia kuwa wasitafute fedha kwa kumzushia kashfa.  Kauli yake imekuja baada ya kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR LULU SASA NI MOTO WA KUOTEA MBALI SANA ONA LIVE KWA NINI ANAWATESA...

 For some good toned bodies don't come easy. They have to go an extra mile & hit the gym. like gorgeous Lulu

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI SABA YAUAWA PAPO HAPO BAADA YA KUPIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

Majambazi saba yauwawa baada ya kujaribu kuvamia na kupora mali kwenye duka moja la jumla, wananchi walishtukia mchezo na kulizunguka duka hilo,wakati majambazi hao wanajaribu kukimbia walivamiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Slaa aibua ufisadi CHC.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad SlaaKATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amedai kupata nyaraka za siri zinazobainisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZITO YAIBUKA KIFO CHA KIGOGO CCM..soma zaidi hapa..!

Clement Mabina enzi za uhai wake.Na Mashaka Baltazar, MwanzaMAMBO mazito yameibuka baada ya kifo cha kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Diwani wa Kata  ya Kisesa, Clement Mabina jijini Mwanza  kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO..!DUNIA INA MAMBO..MAITI YAGOMA KUSAFIRISHWA ELDORET NCHINI KENYA.

Jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya leo lilishuhudia tukio la kushangaza baada ya maiti iliyokuwa inasafirishwa kwa maziko kukataa safari hiyo. Kizaazaa kilizuka pale gari lililokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO CHINI YA MIAKA 18 AFANYA UKAHABA..SOMA ZAIDI HAPA...!

Anitha baada ya kunasa katika mtego wa OFM.KIKOSI kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ Kanda ya Ziwa, kinaendelea kufukua uchafu unaofanyika jijini hapa, safari hii kimemnasa binti mwenye umri chini...

View Article
Browsing all 2863 articles
Browse latest View live