RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA NELSON MANDELA, AONGEA KIJIJINI QUNU AFRIKA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa mazishi Baba wa Demokrasia wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela kijijni Qunu, Eastern Cape, Afrika Kusini leo Desemba 15, 2013PICHA NA IKULURais Jakaya...
View ArticleAngalia Picha Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya...
Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina baada ya kushambuliwa Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya...
View ArticleKASHFA NZITO!!! MKUU WA WILAYA amtapeli mwanamama mil. 50/- TABORA. mjini
KULIA NI Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini , Suleiman Kumchaya....(picha aihusiani na taarifa hii bali ni kukupa taswira tu)Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini , Suleiman Kumchaya, ameingia kwenye kashifa...
View Article2013 NUKSI KWA MASTAA BONGO
ZIKIWA zimesalia siku 15 kukatika kwa mwaka 2013 na kuukaribisha 2014, Ijumaa Wikienda linakuletea matukio kibao yaliyotafsiriwa kuwa ni nuksi katika ulimwengu wa mastaa Bongo. Marehemu Sajuki.BONGO...
View ArticleKufuru, ndege ya watu 150, Malkia wa Nyuki apanda peke yake
Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi 'Malkia wa Nyuki'.MLEZI wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye...
View ArticleANGALIA DRAW YOTE YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Round of 16Man. City(ENG)vS Barcelona(ESP)Olympiacos(GRE)vSMan. United(ENG)Milan(ITA)vSAtlético(ESP) Leverkusen(GER)vSParis(FRA) Galatasaray(TUR)vSChelsea(ENG)Schalke(GER)vSReal Madrid(ESP)...
View ArticlePICHA YA MANDELA AKIWA KWENYE JENEZA YAWA DILI
Picha ya Mandela akiwa kwenye jeneza.HATIMAYE historia imeandikwa, Mzee Nelson Mandela, rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini amezikwa jana katika shughuli kubwa iliyoshuhudiwa...
View ArticleANGALIA PICHA JINSI WACHEZAJI WA AZAM KIPRE TCHETCHE,KIPRE BALOU AND BRIAN...
Kula na wewe basiiiii zamu yako Haya sasa kila mtu pande lakeee achukueeeeee Furaha iliyojeeeeee kufari na wenzio pamojaaa Utamu wa kekiiiiiiiiii huooooHahahahaaaaaa Naniii aanze kulishwa?
View ArticleANGALIA PICHA JOHN CENA ACHEZEA KICHAPO TOKA KWA RANDY ORTON NA KUPELEKA...
RANDY ORTON AMESHINDA MIKANDA MIWILI YA WWE BAADA YA KUMSHINDA JOHN CENA KWENYE Tables, Ladders & Chairs Match,AMBAPO JOHN CENA ALISHINDWA KUTETEA TAJI LAKE MOJA LA WWE HIVYO KUPELEKEA RANDY...
View ArticlePrank Video: Diamond afanyiwa ‘blind date’ na wasichana mapacha, ashindwa...
Umeshawahi kujikuta umekutana na msichana mrembo au mvulana mtanashati, halafu siku ya pili ukakutana na pacha wake wanaofanana hadi ukucha na ukaendeleza maongezi mlipoishia jana bila kugundua si yule...
View ArticleATEKETEZA NYUMBA KWA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI
Nyumba ya familia moja huko mtaa wa Ugombolwa Kata ya Segerea jijini Dar imeteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke wake ana mahusiano ya kimapenzi na...
View ArticleDAKIKA 90 ZA DUNIA: PAPA FRANCIS ATWAA TUZO YA PERSON OF THE YEAR 2013
Jumatano wiki hii, jarida maarufu na kongwe duniani la TIME, lilimtangaza kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis, kuwa mtu aliyekuwa na ushawishi mkubwa kwa mwaka huu wa 2013.Tuzo hiyo,...
View ArticleNELSON MANDELA, NA GRACA MACHEL WALIKUWA NA MAPENZI YA NJIWA.
Makala: Sifael Paul na MitandaoNI jabali wa Afrika. Baba wa Taifa la Afrika Kusini. Alikuwa kipenzi cha wengi, Nelson Rolihlahla Madiba Mandela ‘Mzee Madiba’ (95). Alifariki dunia Desemba 5, mwaka huu...
View ArticleANGALIA PICHA ZA SHILOLE NA AT WATUA UINGEREZA TAYARI KWA SHOW KALI
The much anticipated Made in Tanzania show which was slated for the 30th of Nov has been postponed. Singers AT, SHILOLE had been booked to perform at the Kiln Farm Milton Keynes for Hundreds of fans....
View ArticleANDRE VILLAS BOAS AFUKUZWA KAZI TOTTENHAM
Siku moja baada ya kupokea kipigo cha kihistoria cha 5-0 kutoka kwa Liverpool wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani, klabu ya Tottenham Hotspur imemtimua kocha mkuu wa timu hiyo Andre Villas...
View ArticleCAF CHAMPIONZ LIGI: YANGA KUANZA NA KOMOROZINE, KMKM NA DEDEBIT!!
LEO imefanyika Droo ya CAF CHAMPIONZ LIGI 2014 na Wawakilishi wa Tanzania, Yanga na KMKM, wataanzia Raundi ya Awali.Yanga wataanza na Klabu ya Morocco, Komorozine na KMKM kucheza na Klabu ya Ethiopia,...
View ArticleBIFU LA MLELA NA HEMED `LIVE`, WAKUTANISHWA KUIGIZA FILAMU MOJA!!
Hemed (kushoto) akimtishia bastola MlelaHemed na Mlela wakiwa wamelazwa hospitalini baada ya kuumizana huku mama yao akiwaangalia kwa huzuniKasha la filamu mpya ya bifu la kina Mlela na PHD...
View Article