MTOTO WA MIAKA 6 ABAKWA NA MFANYAKAZI WA NGURUWE.
PEPO la ubakaji linazidi kutikisa jamii ambapo hivi karibuni watoto wawili wanaripotiwa kubakwa kwa nyakati tofauti jijini Dar.Mtoto mmoja, mkazi wa Kitunda (jina linahifadhiwa) amebakwa na mfanyakazi...
View ArticleMNENGUAJI WA BENDI YA AFRICAN STARS ALILIA PENZI
Mnenguaji wa bendi ya African Stars Mandela juzi usiku alitoa mpya ya mwaka baada ya kulazimisha penzi kutoka kwa dada nnoja aliyefahamika kwa jina moja la ZainabTukio hilo lilitokea nje ya ukumbi wa...
View ArticleMZEE WA UPAKO AFUNGUKA KUHUSU KUCHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI,,,,,!SOMA ZAIDI...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’.MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa kwa wizi wa...
View ArticleVIDEO..HUU NDIO UNYAMA WA OPERATIONTOKOMEZA MAJANGILI..
Like Sabibo Camp like Operesheni Tokomeza. Na hii ni just a drop of ice berg...Hivi unaweza kujiuliza kwenye hizo kambi vingapi hatujavijua vilifanyika? Kama hadi sasa, kwa mujibu wa taarifa ya kamati...
View ArticleKWA WASIO MFAHAMU SNURA, WA MAJANGA HAYA NDIYO MAISHA YAKE HALISI KWA UJUMLA!
KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sanaa na burudani, wanamfahamu kitambo. Ninamzungumzia Snura Mushi, ambaye anatamba sana...
View ArticleHII KALI YA KUFUNGA MWAKA! MCHEZAJI AFANYA MAZOEZI NA SKETI NCHINI USKOCHI
Partick Thistle huenda ikawa ni klabu ambayo inapokuwa uwanjani haina la kushangaza lakini huku nyuma ya pazia inapokuwa katika uwanja wake wa mazoezi vituko ni sehemu ya kufurahisha ndani ya klabu...
View ArticleKUTANA NA MWANAMKE HUYU WA AJABU DUNIANI.STORY NA PICHA ZAIDI ZIKO HAPA
ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya...
View ArticleVIDEO MPYA KALI YA NAY WA MITEGO "NAKULA UJANA"..TAZAMA NA KUIDOWNLOAD HAPA....!
CHEKI VIDEO HAPA CHINI....
View ArticleKISWAHILI CHAZIDI KUPANDA CHATI...HUYU HAPA SUPASTAA WA MAREKANI MWINGINE...
Mpaka 2013 imemalizika, Kiswahili kimechukua headlines mara kadhaa kwenye AyoTV na millardayo.com kutokana na kutumika kwenye sehemu ambazo hatujazoea kuona kikitumika mfano kupatikana kwa video za...
View ArticleANGALIA PICHA ZA SHOW YA SNURA WA MAJANGA ILIVYOKUWA DAR LIVE
Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.Snura akisema na mashabiki wake.Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini.Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha...
View ArticleRAY C ATUMA SALAMU ZA MWAKA MPYA KWA RAIS KIKWETE NA KUMSHUKURU KWA FADHILA ZAKE
Story ya mwanadada Ray C si ngeni masikioni mwetu. Leo hii kabla ya mwaka kuisha ameamaua kufunguka kupitia account yake ya Instagram na kunadika shukurani zake kwa baba yake Rais Kikwete kwa kumuokoa...
View ArticleDINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA
Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’.SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani.Kwa muda mrefu Dina na Ruben...
View ArticlePENNY AAMBULIA MATUSI KUTOKA KWA MASHABIKI WA DIAMOND NA WEMA
Maskini Penny anamaliza Mwaka Vibaya kwa Kuandamwa na wabaya wake kwa matusi yanayotolewa kupitia mtandao wa Instagram kupitia akount moja inayosomeka @djvpeneeynauzak***.Akaunti hiyo imepost Post...
View ArticleIMEBUMBULUKA:: MSANII NISHA KUUMWA MPAKA KUWA HOI NI BAADA YA KUCHOROPOA...
MSANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa...
View ArticleLAANA KUBWA SANA HII:WANAUME WACHEZEA MAKALIO YA WADADA WAWILI WALIOLEWA NA...
BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ANGALIA VIDEO HAPA UONE LAANA HIYO
View Article