Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

PENNY AAMBULIA MATUSI KUTOKA KWA MASHABIKI WA DIAMOND NA WEMA

$
0
0
clip_image002Maskini Penny anamaliza Mwaka Vibaya kwa Kuandamwa na wabaya wake kwa matusi yanayotolewa kupitia mtandao wa Instagram kupitia akount moja inayosomeka @djvpeneeynauzak***.
Akaunti hiyo imepost Post mbalimbali zinazomwandama mdada huyo ambae alikuwa na Mahusiano na Msanii Diamond Platnumz Na hivi karibuni imeripotiwa kuwa wametengana…Sasa haijajulikana Huyu mwenye akaunti hii dhumuni lake ni lipi.
 
Unaweza kuona Moja ya Post hiyo hapa chini:clip_image001

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles