Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

IMEBUMBULUKA:: MSANII NISHA KUUMWA MPAKA KUWA HOI NI BAADA YA KUCHOROPOA MIMBA ALIYOKUWA NAYO

$
0
0


MSANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.
Gazeti la Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye yupo ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha aliugua gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa.
                                                                                                         -swahili tz

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles