YANGA YAILAMBISHA KMKM 3-2 UWANJA WA TAIFA
KLABU ya Yanga ya jijini Dar es salaam imeitafuna KMKM kutoka Visiwani Zanzibar mabao 3-2 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa jioni ya leo uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanga waliingia uwanjani...
View ArticleMERTESACKER, OZIL NUSURA WAZICHAPE KUFUATIA KIPIGO CHA 6-3,
Akimnyooshea kidole, acha mambo yako mwana!: Per Mertesacker (kulia) akimuwakia Mesut Ozil baada ya kula kipigo cha mabao 6-3 kutoka kwa Manchester CityKIPIGO siku zote kinavuruga!!. Baada ya...
View ArticleHII NI ZAIDI YA LAANA, ANGALIA SHOW YA KANGA MOJA FULL
Mcheza shoo wa kanga moja laki si pesa akitoa burudani kwa mashabiki wake, mzuka ukapanda na kuamua kuvua nguo na kuacha matako yoteANGALIA PICHA ZAIDI njeYani kujituma tu!
View ArticleAMINI USIAMINI HICHI NDIO KILE KISIMA KILICHOZINDULIWA TANZANIA NA JAY Z...
HICHI NDIO KILE KISIMA KILICHOZINDULIWA NA JAY Z PAMOJA BEYONCE KILICHOWATOA MAMTON MPK TZ, HEMBU TAZAMA JAMANI KILIVYOCHOKA YAN KIMEKAUKA KINOMA
View ArticleANGALIA PICHA ZA AWALI KATIKA MAZISHI YA MANDELA
Display: The coffin of former South African President Nelson Mandela is seen draped in a South African national flag during his funeral in his ancestral village of QunuRespect: Candles are lit under a...
View ArticleMBUZI AZAA MTOTO MWENYE SURA YA BINADAMU HUKO KENYA
Wakazi wa eneo la Likoni, Mombasa nchini Kenya walipatwa na mshangao mkubwa mara baada ya mbuzi mmoja kujifungua mtoto mwenye sura inayofanana na binadamu.Tukio hilo lilifanya shughuli mbalimbali...
View ArticleZitto kuwasilisha maelezo binafsi bungeni kuhusu, kauli ya Mwanasheria Mkuu...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema anatarajia kuwasilisha maelezo binafsi kuhusu, kauli ya Mwanasheria Mkuu aliyoitoa juzi bungeni dhidi yake na kumuita muongo kuhusu suala la kuwa na...
View ArticleKidole cha kati kumgharimu kiungo wa Arsenal Jack Wilshere
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere huenda akaingia matatani baada ya kuwaonyesha mashabiki wa Man City ishara ya matusi kwa kidole chake sekunde chache baada ya mchezo ambao Arsenal ilifungwa 6-3...
View ArticleDK SLAA: TUKISHIKA DOLA TUTARUHUSU UTENGENEZAJI POMBE YA GONGO
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO)...
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA KIBADA,KIGAMBONI, DAR
Kaimu Mhandisi wa Maji Manispaa ya Temeke, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Meckiline Haule (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa kisima cha maji kilichojengwa...
View ArticleSHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE NELSON MANDELA HIVI SASA KIJIJINI QUNU
Kamera ya Globu ya Jamii ipo Ndani ya Hema maalumu ambamo shughuli ya mazishi ya marehemu Nelson Mandela inaendelea hivi sasa katika kijijini Qunu.Na kama ilivyo ada ya libeneke la Globu hili kwamba...
View ArticleBURIANI MADIBA! HATUTAKUONA TENA DUNIANI!
Jeneza lenye mwili wa Mandela likielekea kwenye eno la mazishi katika kijiji cha Qunu mapema leoFamilia ya Mandela ikiwa mstari wa mbele akiwemo Winnie, Rasi Zuma na Graca Machele wakifuatilia mazishi...
View ArticleREGNAND MENGI AJIBU TUHUMA ALIZOZUSHIWA
1. Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti. 2. Mimi...
View ArticleMWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI...
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi.Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea...
View ArticleDAR LIVE YACHENGUA MASHABIKI KWA KISHINDO CHA MITIKISIKO YA PWANI
Mwimbaji wa bendi ya Super Shine, Queen Salma akifungua pazia la burudani.Nuru Moshi wa Super Shine akitoa burudani.Waimbaji wa Super Shine wakiimba.Khadija Omar Kopa wa TOT akitoa...
View ArticleDAKIKA ZA LALA SALAMA DIRISHA DOGO LA USAJILI, OKWI ATUA YANGA RASMI!!
Unaona eeeh!: Wazee wa kazi wameshafanya yao, wamemnasa kijana Okwi, sasa kukipiga jangwani. Sakata lake, Yanga wadai wamefuatia hadi FIFA na wameshapata ITCZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya...
View Article