WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND
Dada wa hiari na Mapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake amevunja ukimya kutokana na kile alichokiona kuwa ni mateso ya kujitakia anayoyapata Wema Sepetu...
View ArticleYA MUNGU MENGI JAMANI! SHEHE AFIA KABURINI AKIZIKA!
Shehe aliyefariki akizika. Tukio hilo lililowaacha watu na machozi lilijiri katika Makaburi ya Nonde jijini hapa wakati wa mazishi ya marehemu aliyejulikana kwa jina la Mayasa Salmini au Bibi Majuto...
View ArticlePICHA ZAIDI MAPOKEZI YA DIAMOND LEO DAR KUTOKA AFRIKA KUSINI
BOFYA KUONA PICHA KIBAO MAPOKEZI YA DIAMOND>>>
View ArticleMTUNGO WA ZARI BALAA! DIAMOND NI WA 13!
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady. Kwa mujibu wa jarida la linalodili na habari za showbiz (biashara ya shoo) la E-Vibe la nchini...
View ArticleMAAJABU ARUSHA! MGONJWA AMUUA MWENZAKE WODINI!
Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa naye katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru,Arusha.MAAJABU! Katika hali isiyo ya kawaida...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AFUNGA MITAA JIJINI DAR,WANANCHI WAANDAMANA KUMPOKEA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA>>>
View ArticlePICHA ALICHOFANYA JAMAA ANAYEJIITA SHABIKI #1 WA DIAMOND PLATINUMZ,
Ushabiki hauna mipaka kwenye mambo mengi ya burudani, michezo na hata siasa. Huyu anajiita shabiki namba moja wa msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na kwa mapenzi ya ukweli jamaa amechora tattoo ya...
View ArticleKAULI YA MSANII DIAMOND ESCAPE ONE,MARA BAADA YA KUPOKELEWA UWANJA WA NDEGE
Miongoni mwa vitu alivyovizungumza Diamond kwenye mkutano wake huu alisisitiza umoja kwa wasanii wa Tanzania ili kufikia nafasi ambazo nchi zingine kama Nigeria zimefika za kusimamisha wasanii wengi...
View ArticleVIDEO DIAMOND AMPA KIJEMBE ALLY KIBA...."HATA ALLY SIMUONI".NI SHIDAA
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Diamond alivyotua na kupokelewa kwa nguvu jijini Dar es Salaam Desemba 2, 2014 akitokea nchini Afrika Kusini.Diamond akiongea na mashabiki wake baada ya kuwasili...
View ArticleBAADA YA KUONA MAPOKEZI YA DIAMOND DAR RAPPER AKA ATOA KAULI YAKE
AKA ni rapper maarufu kutoka Afrika Kusini ambae alishinda tuzo moja kwenye tuzo za Channel O 2014 hapa Johannesburg Afrika Kusini ambako Diamond alishinda tuzo tatu kwa mkupuo.Baada ya kuziona picha...
View ArticleMDOGO WAKE ZARI APONDA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND
Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9.Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You...
View ArticleKIBAKA ANUSURIKA KUUWAWA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MJINI KAHAMA.
KIJANA AMBAYE NI KIBAKA JINA HALIKUWEZA KUFAHAMIKA KWA MARA MOJA AKIWA HOI BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO CHA NGUVU TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KATIKA ENEO LA KITUO KIDOGO CHA MABASI MJINI...
View ArticleHUYU ZARI NI NANI?! MFAHAMU KWA KINA HAPA..PIA KAMA ULIMISS DIAMOND KUWA...
“Habari mpya ni kwamba Diamond Platnumz atakuwa mgeni rasmi katika pati ya Zari All White Ciroc, najihisi niko sahihi kwa sababu sioni kama kuna ushindani wowote, huyu ni mtu wangu na itabaki kuwa...
View ArticleMASTAA WAKUBWA KIBAO WAMPIGIA SALUTI DIAMOND PLATINUMZ!
BAADA ya Jumamosi iliyopita msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kunyakua tuzo tatu kwenye tuzo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards 2014 (CHOAMVA),...
View ArticleMAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO!
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila.Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC)...
View ArticleMZEE AIBUKA, ADAI ROSE NDAUKA NI MWANAYE
Staa wa sinema za Bongo, Rose Donatus Ndauka.MADAI! Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Severin Daniel Ndauka amejitokeza katika Ofisi za Global Publishers na kudai kwamba, staa wa sinema za...
View ArticleROSE MHANDO: NILITEKWA KWA BASTOLA NIKAPELEKWA PORINI KUFANYA MAPENZI
Nyota wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando.NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume...
View ArticleMKAO WA KULA! ALIKIBA AENDA CAPE TOWN. SOUTH AFRICA KUSHOOT VIDEO MPYA!
Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita.Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa...
View ArticleMASHABIKI WA DIVA WA ALA ZA ROHO WAMJIA JUU MENEJA WA CLOUDS FM!
Mashabiki wa kituo cha redio cha Clouds FM wiki hii wameungana na watu wengi mbalimbali kukipongeza kwa kutimiza miaka 15 tangu kianzishwe, lakini kuna kundi moja la watu halina furaha – mashabiki wa...
View ArticleVIDEO: LAVEDA ARUDI BBA
Irene Neema Vedastous 'La Veda'.MWANADADA aliyewakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini. Irene Neema Vedastous 'La Veda' ameitwa tena ili kushuhudia...
View Article