Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND

$
0
0

Dada wa hiari na Mapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake amevunja ukimya kutokana na kile alichokiona kuwa ni mateso ya kujitakia anayoyapata Wema Sepetu kutokana na kusumbukia Pnezi la mwanamuziki mkubwa wa Bongo fleva Nasibu Adbul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz. 
Kupitia wakala wake wa amani dada huyo alifunguka kama ifuatavyo;

Najua wewe ni mrembo sana, una exposure kubwa na una pesa, sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana. Jana nimekuona sehemu fulani Kinondoni Umelewa sana sana.. Hivi unadhani pombe ndio suluhisho la matatizo yako? Tena unakunywa mipombe mikali halafu mwanamke, Hicho kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo?Nakupa siri mdogo wangu wewe una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyete duniani, na sio uchafu wa manzese huu unaokupata paka kila kikwapa cha mwanamke. Kama ungeweza hebu ondoka Tanzania japo kwa miezi sita nenda kakae nje kama ulivyofanya kipindi kile ulivyoachana na yule mla unga ukirudi utakuwa mpya umeweza kukaa mbali na huyi dom* na utaona umeweza kuishi bila yeye. Hebu jaribu kukaa bila mwanaume uone kama haiwezekaniki, jaribu kubadili aina ya wanume unao date nao. BOFYA KUSOMA KISA KAMILI>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles