
Kaandika >>> ‘Diamond alirudi Tanzania baada ya ushindi wa tuzo tatu za Channel O, jaribu kufikiria watu wa South Afrika wangeguswa na Wasanii wao kama hivi, kwenye nchi yangu mapokezi kama haya ni kitu ambacho kimehifadhiwa kwa ajili ya kina Justin Bieberna Chris Brown…. hongera Diamond’BOFYA KUSOMA ALICHOANDIKA>>