HALIMA KIMWANA: SIHUSIKI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI
Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana amedai kuwa hahusiki na uhusiano unaoendelea kati ya kaka yake huyo na mrembo kutoka Uganda, Zari....
View ArticleMUVI YA DIAMOND NA ZARI THE BOSS LADY...MCHEPUKO WA ZARI AJIWEKA KANDO NA...
Ninaripoti kutoka Uganda kama ifuatavyo: Baada ya Diamond kujisevia Zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa Zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na Mwanamke...
View ArticleBREAKING NEWSS : LORI LINATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU
Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami ikiteketea kwa Moto muda huu eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa PICHA ZAIDI>>>
View ArticleMUNGU WANGU! MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU DAR!
My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu.Swaumu Sadick akiwa...
View ArticleUTATA! ZAWADI ZA MISS TANZANIA ALIZOPEWA SITTI MTEMVU KURUDISHWA?! LUNDENGA...
Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kwa wingi jana kwenye ‘Kikaangoni’ ya EATV, ni...
View ArticleX WA DIAMOND PLATINUMZ PENNY AFUNGUKA KUHUSU MAHARI YAKE, VIMINI, WEMA NA...
Jina la Penny limo katika orodha ya mastaa waliowahi kuwa na uhusiano na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Jina lake kamili ni Penniel Mwingilwa. Huyu ni Mtangazaji wa Radio Efm ya jijini...
View ArticleSIRI IMEFICHUKA! ANAYEWAUZA MASTAA BONGO WA KIKE TZ HUYU HAPA!
Jokate Mwegelo akipozi. UCHUNGUZIImefichuka! Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa za chini kwa chini kwamba baadhi ya mastaa wa kike Bongo, hasa wale wa filamu ‘Bongo Movies’ huuzwa kwa wanaume, mara...
View ArticleSKENDO CHAFU YA USAGAJI YAMPONZA VAI WA UKWELI!
Msanii wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.MSANII wa Filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amesema sasa hivi yuko kwenye wakati mgumu kutokana na baadhi ya marafiki na...
View ArticlePICHA ZA TATA ZA MSANII VICTORIA KAMANI AKIWA LOCATION
Photos of Victoria Kimani WHILE She Is On Photo Shoot!!! U MUST SEEPICHA ZAIDI>>>
View ArticleDIAMOND PLATINUMZ AKAMILISHA ‘TAKEU’ KWA MADEMU!
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti...
View ArticleHABARI MPYA KAJALA KUZAA TENA! ANAZAA NA NANI
Mwigizaji wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo...
View ArticleMAMBO HADHARANI! A-Z KUHUSU BILIONEA ALIYEKUFA AKIWA NDANI YA GARI BUKOBA!
Tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa akichunguzwa na daktari. Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huuambapo imeelezwa kuwa marehemu ambaye ni baba wa...
View ArticleJOKATE KIDOTI: WATU WENGI WANASEMA MIMI
Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo.MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake...
View ArticleAGNESS MASOGANGE LAWAMANI...MCHUMBA AKE AFUNGUKA MAZITO!
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja makubaliano yao.Video...
View ArticleGOOD NEWS TOKA KWA MTOTO MZURI BATULI WA BONGO MUVI!
Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, amesema kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa ameshampata mtu sahihi kwake,...
View ArticleTIMBWILI ZITO HUWEZI AMINI! MAMA AWAPA KIPONDO NJEMBA 5!
Mama Ashura akishusha kichapo hicho. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, timbwili hilo ‘hevi’ lilijiri kwenye banda la chipsi la jamaa aliyetajwa kwa jina la Jerome Bertin Mushi almaarufu Babu lililopo...
View ArticleMTAZAME TAJIRI HUYU ANAVYO CHEZA NA SIMBA PAMOJA NA WANYAMA WAKALI...
Hapa Mwarabu huyu alionekana akiwa na Furaha kubwa wakati alipokuwa na Simba wake ambaye nae alikuwa poa tuu kwa sababu wamezoeana tuu kama wanadamu.Huwezi kuamini lakini hivi ndivyo ilivyokuwa hapa...
View ArticleMSICHANA AOKOTWA AKIWA TABANI KATIKA UCHOCHOLO WA BAR YA GALAX MJINI KAHAMA
Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu huku...
View ArticleDIAMOND AONGELEA KUHUSU KUACHANA NA WEMA NA MAHUSIANO YAKE NA ZARI BOSS LADY
Jana Nov 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zilizoenea mitandaoni kwamba mahusiano ya msanii...
View Article