KISA WEMA SEPETU KUMMWAGA DIAMOND KIPO HAPA
MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo...
View ArticleDIDA AONGOZA MASTAA KIBAO KWENYE BIRTHDAY YA MTANGAZAJI WARDA
Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Morogoro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar kulia nI...
View ArticleSIRI IMEFICHUKA! DENDA LIVE...PICHA YA DIAMOND NA MREMBO BILIONEA ZARI...
Zari The boss ladyBaada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya...
View ArticleMZEE WA MIAKA 75 AMPA MIMBA BINTI WA MIAKA 13
Matukio ya mimba za utotoni yamekuwa yakijitokeza kila kukicha yakiwa na sura tofauti, mengi yametajwa kuharibu maisha na kupoteza ndoto za wasichana wengi.Kutoka Nigeria Mzee mwenye umri wa miaka 75...
View ArticleSHILOLE KIUNO TISHA SANA! ATUA UBELGIJI KWA KISHINDO! TAZAMA PICHAZ HAPA!
Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa...
View ArticleMTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO MWENZAKE, AKAMATWA..
Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake. Tukio hilo la kushangaza lililonaswa na Ijumaa Wikienda lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 mchana maeneo ya Majengo...
View ArticleMTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA!
Denis Mtima na Gabriel Ng’oshaLILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack...
View ArticleHISTORIA YA MAISHA NASIBU ABDUL DIAMOND PLATINUMZ.
Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond akipozi.ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya...
View ArticleMTANGAZAJI WA TIMES FM DIDA AINGIA AIBU YA MWAKA UKUMBINI...KIGAUNI CHA...
Weka mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC)...
View ArticleSAKATA LA MADAWA YA KULEVYA LINALOMKABILI MFANYABIASHARA MAARUFU DAR LACHUKUA...
Mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji(mwenye suti), akiwa chini ya ulinzi. Vyanzo vyetu makini kutoka jeshi la polisi zinasema kuwa mali...
View Article--- Article Removed ---
*** *** *** RSSing Note: Article removed by member request. *** ***
View ArticleBAADA YA KUTANGA TANGA KWA MUDA MREFU MSANII WA KIZAZI KIPYA AMBUKIZWA GOJWA...
Msanii wa Bongo Fleva, Baby Madaha.MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia....
View ArticleMASKINI! UGONJWA WA FIGO UNAVYOMTESA MTOTO HUYU!
Mtoto Careen anayesumbuliwa na figo moja ambayo haifanyi kazi. Licha ya kuugua figo, mtoto huyo pia ana ugonjwa wa mafindofindo (Tonsillitis) unaomfanya akose raha kutokana kuwa na maumivu makali...
View ArticleYA MUNGU MENGI JAMANI, SHUKURU U MZIMA! USIOMBE YAKUKUTE YANAMKUTA MWENZTU...
Steven John anayesumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya tumbo. AMETOKA WAPI?John ni mkazi wa Kijiji cha Sokoni One, mkoani Arusha, amekua akisumbuliwa na ugonjwa huo kwa kipindi cha miaka miwili bila...
View ArticleWAKATI TEAM WEMA WAKIENDELEA KUMPONDA ZARI KUWA NI MZEE NA ANAWATOTO>>>TEAM...
This is one of Diamond fan's INSTAGARM account....These are some of photos they posted....P
View Article