Hapa Mwarabu huyu alionekana akiwa na Furaha kubwa wakati alipokuwa na Simba wake ambaye nae alikuwa poa tuu kwa sababu wamezoeana tuu kama wanadamu.Huwezi kuamini lakini hivi ndivyo ilivyokuwa hapa wakati jamaa huyu alipokuwa akicheza na Simba wake pamoja na mapaka makubwa .shuhudia hapa.
Dah hii hatari kwa jinsi Simba huyu alivyo mzoea huyu jamaa unaweza ona hapa anaweka mkono katikati lakini hata hamli Huyu simba wala hana noma na huyu jamaa hapa wanapiga story... "Dah nanjaa kweli hapa" utazani simba huyo alikuwa anamwambia jamaa tajiri