Quantcast
Browsing all 2863 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA KIKONGWE AUWAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA.

 RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA...Bibi Lucia alivyokatwa pangaMama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOT NEWSMTOTO WA RAGE MAHUTUTI,SUMU YAHUSISHWA

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage.Na Mwandishi WetuMTOTO wa kwanza wa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amelazwa mahututi katika hospitali iliyoelezwa kuwa katika Mji wa Atlanta nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MZEE MANDELA, ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO...

Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia kwake, kwa mkewe Bi. Graca Machel, wanafamilia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPASUKO WA CHADEMA SASA MBINU ZA KUSULUHISHA KAMBI ZINAZOKWARUZANA CHINI YA...

 JUHUDI za chini kwa chini kusuluhisha kambi zinazokwaruzana katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chini ya mwavuli wa usaliti zimeanza kuchukua nafasi yake, Raia Mwema, limebaini.Kambi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALICHOANDIKA RIHANNA, AKON, T-PAIN, LUDACRIS, R KELLY, ASHANTI, MISSY...

 Mwanamuziki Robert Sylvester Kelly "R. Kelly" akiwa na Nelson Mandela enzi za uhai wake.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA SIMU YA MKONONI ALIOKUSUDIA KUTUMWA KWA HAWALA BADALA YAKE WAENDA...

 Mwanamke huyu aitwae Gail Crocker ambae alikua Polisi nchini Uingereza imefahamika kwamba alijiua baada ya kumtumia mume wake meseji badala ya kumtumia mpenzi wake ambae alikua polisi mwenzake.Kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA BAUNSA AUWA KWA RISASI

KIJANA aliyefahamika kwa jina moja la Andrew, mkazi wa Yombo, jijini Dar amedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi ‘baunsa’ wa Kampuni ya Harvest Public Action iliyopewa dhamana ya kuuza nyumba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILE KESI ILIYOKUWA INAMKABILI WEMA SEPETU YA KUPIGA NA KUTUKANA, IMETOLEWA...

Ile kesi ya kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni Meneja wa Hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe Beach, Dar, Godlucky Kayombo iliyokuwa ikimkabili Wema Isaac Sepetu imetolewa hukumu yake kama ilivyokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMU YA OFISINI YA MBUNGE WA KENYA INA UMBOL LA MSICHANA ALIYEVAA 'BIKINI',...

Seneta Mike Sonko wa Nairobi, Kenya ni miongoni mwa watu wasiopotea katika vichwa vya habari vya mitandao ya Kenya, huenda sababu ni moja, ana matukio ya kutengeneza ‘attention’ hasa yale ambayo wengi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STORI YA KUCHAPANA MAKONDE "NGUMI" KATI YA H-BABA NA CHEKI BUDI WA MONGO...

Headlines kwenye U heard ya Clouds FM zinahusu stori za kupigana kati ya msanii wa bongofleva H Baba pamoja na mwigizaji Cheki Budi ambae amehojiwa na gossip cop Soudy Brown. sikiliza hapa:

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIMENUKA WALE WAPENDA MACHANGUDOA MTAKIONA CHA MTEMA KUNI SOMA MWENYEWE UJUE...

Mnamo siku ya Jumatano watunga sheria nchini Ufaransa walipitisha muswada ambao utawafanya wateja wa makahaba kutozwa faini kuanzia kiasi cha €1 500.Sheria ya kupinga ukahaba ilipitishwa na mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUNDI KOMBE LA DUNIA: ENGLAND, URENO ZAPANGWA MAKUNDI YA KIFO - FAINALI YA...

GROUP A: Brazil, Croata, Mexico, Cameroon.GROUP B: Spain, Holland, Chile, Australia.GROUP C: Colombia, Greece, Ivory Coast, Japan.GROUP D: Uruguay, Costa Rica, ENGLAND, Italy.GROUP E: Switzerland,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WA SIRI MPYAA WA NDANI YA CHADEMA WAVUJA ... USOME HAPA

Ndugu watanzania, nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wajumbe wa baraza la maamuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAANA ANGALIA VIDEO WANAFUNZI WALIONASWA WAKICHEZA UCHI DARASANII

Hawa ni wanafunzi walionaswa wakicheza nusu uchi darasani wakati wa masomo.Kazi kwenu wadau, ndo wanetu hawa!!>>BOFYA HAPA KUCHEKI VIDEO HIYO<<

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washtakiwa mauaji Dk. Mvungi watishiana kuuana mahabusu

Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Marehemu ,Dk. Sengondo MvungiWashtakiwa  10 wanaotuhumiwa na mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, jana waliomba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA MZEE MWINYI YAFANYA TIMBWILI

 SHAKOOR JONGOFAMILIA ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mzozo mkubwa wa nyumba kati ya mjukuu wa Mzee Mwinyi, Abdi Hassan Mwinyi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO:NIMECHOKWA KUBAKWA NA BABA

 JOSEPH NGILISHO, ArushaAMA kweli dunia sasa inaserereka! Katika hali ya kusikitisha, baba mzazi mwenye familia ya watoto watatu, mkazi wa Kambi ya Fisi jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU NA WIFI YAKE WANASWA WAKIJIUZA

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni, sakata la mtu na wifi yake kunaswa wakifanya biashara ya ukahaba na kufikishwa mahakamani limewastajabisha wengi, Risasi Jumamosi linakutaka ukae mkao wa kula...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAHABA WAKAMATWA JIJINI DAR KATIKA OPARESHENI YA FICHUA MAOVU

NI aibu sana! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJANGA:MJAMZITO ANASWA AKIFANYA BIASHARA YA KUTOA URODA (UKAHABA)

MREMBO Sikujua Hassan, mwenye ujauzito unaokadiriwa kuwa na umri wa miezi sita, alinaswa akifanya ukahaba, Buguruni, Dar es Salaam.Sikujua, alinaswa na polisi kisha kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi,...

View Article
Browsing all 2863 articles
Browse latest View live