Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

SIMU YA OFISINI YA MBUNGE WA KENYA INA UMBOL LA MSICHANA ALIYEVAA 'BIKINI', IANGALIE MWENYEWE HAPA

$
0
0

sonko-2
Seneta Mike Sonko wa Nairobi, Kenya ni miongoni mwa watu wasiopotea katika vichwa vya habari vya mitandao ya Kenya, huenda sababu ni moja, ana matukio ya kutengeneza ‘attention’ hasa yale ambayo wengi wanaamini hayaendani na kofia ya ‘useneta’ aliyoivaa.
Ukiachana na mitindo yake ya kunyoa nywele (kiduku), huku kichwani kukiwa na urembo wa maandishi kama wafanyavyo wasanii au wachezaji wa mpira, Seneta huyo huwa ni mtu wa kupiga pamba na bling bling shingoni, masikioni na vidole vyake huchafuliwa na gold, kuna uwezekano akisimama na Octopizzo unaweza ukahisi Sonko ndiye msanii na Octo ni dereva wake. (Joke)

sonko-hair
sonko gold
Mtandao wa Nairobi Wire umeweka picha ya simu ya mezani inayotumika katika ofisi ya Seneta huyo wa Nairobi, yenye mfano wa umbo la msichana aliyevaa bikini pamoja na bra zenye bendera ya Uingereza. Katika picha hiyo Sonko anaonekana akiongea 
kupitia simu hiyo. 

sonko bikini
PICHA: NAIROBI WIRE

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles