PICHA BABA WA FAMILIA AJIFUNGUA MTOTO
Familia inayoundwa na wanandoa Bianca na Nick Bowser, ni familia yenye furaha lakini iliyowashangaza wengi baada ya Nick ( baba wa familia) kupata ujauzito na kujifungua. Iko hivi; Nick ambaye ana umri...
View ArticleMMH..KUHUSU WEMA NA MENINA KUMGOMBEA DIAMOND PLATINUMZ...SIKILIZA MWENYEWE...
Stori ambayo Soudy Brown amei amplify kupitia You heard ya leo Aug 12 ni kuhusu uhusiano wa Diamond Platnumz na Meninah ambye inasemekana wanatoka,Soudy Brown kaongea na Meninah. KUSIKILIZA BONYEZA HAPA!
View ArticleDIAMOND AELEZEA KUHUSU WASANII WA TANZANIA WANAOTAKA KUSHINDANA NAYE
Joto la ushindani kati ya wasanii wa Tanzania linazidi kupanda huku mashabiki na vyombo vya habari wakidaiwa kuchochea kuni kwa namna moja au nyingine.Diamond Platinumz ambaye ndiye msanii anaekabiriwa...
View ArticleBI VAILET MAKAZI WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI
Na John Banda,Kongwa.Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa...
View ArticleMZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA..BAADA YA DIAMOND KUTANGAZA KUTOOA
Stori: Erick Evarist/GPLMALOVEE? Mzungu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ anadaiwa kuingilia penzi la mwigizaji Wema Sepetu.Ishu hiyo imebumburuka ikiwa ni siku chache...
View ArticleUNAAMBIWA WEMA SEPETU AMDHALILISHA DIAMOND PLATNUMZ KWA KUFANYA HIVI HUKO...
Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa.ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa,...
View ArticleWEMA SEPETU: NAJUTA KUMRUDIA DIAMOND
Takribani wiki sasa kumekuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu hayuko sawa katika mahusiano yake ya kimapenzi na nguli wa Bongo Fleva, Diamond...
View ArticleKIBAKA AUWAWA KWA KUCHOMWA MOTO
Kijana mmoja ambaye jina lake na sehemu anayoishi hafikufahamika mara moja ameuwawa kikatili kwa kuchomwa na moto na wananchi wenye hasira akidaiwa kuiba pikipiki maeneo ya katikati ya mji wa...
View ArticleJOKATE NAE AINGIA KWENYE BONGO FLEVA RASMI, MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA
Jokate Mwengelo juzikati aliamua kujizamisha rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kupanda kwa mara ya kwanza katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, akiwa na madensa wake.Mwanamitindo maarufu...
View ArticleMWANAFUNZI ALIWA NA MBWA KARIBU NA IKULU
Jeneza la Mwili wa Marehemu Iblahim Faraja Chipungahelo likiteremshwa makaburini kwa ajili ya mazishi.Mchungaji akiendesha ibada ya mazishi ya Marehemu Iblahim Faraja ChipungaheloWaomboleaji wakiuzika...
View ArticleWEMA SEPETU KUTOA THS MILIONI MOJA UKIMFANYIA HIKI KITU!
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu.BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi...
View ArticleMARTIN KADINDA "AWATOLEA UVIVU" MASHABIKI WA WEMA BAADA YA KUULIZWA KAMA...
Wema akiwa na Meneja wake Martin KadindaSOMA ZADI>>
View ArticleUGONJWA WA EBOLA' WASABABISHA TAFRANI SHINYANGA
Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa siku mbili mfululizo walikumbwa na kiwewe, baada ya kuenea uvumi kwamba kuna mgonjwa wa mwenye homa hatari ya ebola, aliyefikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa...
View ArticleUKATILI: KIGOGO AMCHOMA KISU MKEWE, KISA KINASHANGAZA SANA! SOMA ZAIDI HAPA!
Mke wa kigogo (Mugaka),Bi. Leah aliyefanyiwa unyama na mumewe.KIGOGO wa shirika moja la kimataifa linalojishughulisha na watoto yatima, tawi la mkoani Pwani, Tanzania aliyetajwa kwa jina moja la...
View ArticleKimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz...
View ArticleKimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz...
View ArticleMAJANGA: PICHA YA MUME WA FLORA MBASHA NA MSANII WA BONGO MOVIE YAZUA...
Msanii wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Irene Paul amepost picha akiwa na mume wa Flora Mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao...
View Article