NDOA YA JIDE KUVUNJIKA GARDNER AFUNGUKA.
Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ akiwa na mumewe Gardner G. Habash wakati wa harusi yao.HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu...
View ArticleALBINO UMEKUTWA UMETUPWA MAENEO YA SEGEREA KINYEREZI HUKU UKIWA UMETOLEWA...
Inasadikiwa mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata...
View ArticleWATU 50 NA MBUNGE MMOJA KUFA KWA EBOLA NCHINI
Nabii wa Kanisa la Ufunuo kwa Watu Wote lililopo eneo la Yombo Buza-Kipera jijini Dar, Yaspi Paul Bendera ametoa utabiri kuhusu Ugonjwa wa Homa ya Ebola hapa nchini akizungumza na waandishi wa...
View ArticleDIAMOND AWAJIBU WALIOSEMA ANAMUHARIBU WEMA SEPETU
Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua...
View ArticleDIAMOND ASHINDA TUZO BURUNDI
CV ya Diamond katika muziki inazidi kupanda na mwaka huu unaweza kutajwa kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyo ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua au hata kutajwa tu kuziwania. Wimbo wa My Number One wa...
View ArticleBABU TALE AZUNGUMZIA BEEF YA DIAMOND NA ALIKIBA
Meneja wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye...
View ArticleMASANJA AELEZA MAONO YAKE JUU YA UCHUMBA WA DIAMOND NA WEMA
Kupitia kurasa yake ya mtandao wa Instagram Mchekeshaji Maarufu Afrika Mashariki pia ni Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ama waweza muita "Street Pastor" ameandika: Street...
View ArticleJAMAA ATEMBEZWA UCHI MTAANI BAADA YA KUMTAKA MWANAUME MWENZIE AMLAWITI
Na Saimeni Mgalula,MbeyaMatukio ya kulawitiana yameendelea kuchukua sura mpya baada ya mkazi mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa wa mtaa wa Maporomoko uliopo katika mji mdogo wa Tunduma uliopo Wilaya...
View ArticleTRAFIKI WAMFUNGIA KAZI DEREVA JEURI DAR!
Askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ wakimdhibiti dereva wa basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) aliyevunja sheria ya usalama barabarani. DEREVA wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es...
View ArticleBAADA YA KUSEMWA MENGI KUHUSU NDOA YA JAYDEE NA GADNER ….JAYDEE AWAKATA...
Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G...
View ArticlePOMBE ZA BURE MBAYA : BINTI AVULIWA NGUO ZOTE CLUB KISA OFA (PHOTOS)
Unaambiwa hakuna cha bure katika dunia hii...Kwa wale wadada wapenda offer hii iawahusu sana. Dada huyu alikutwa na maswahibu haya mara tu baada ya kunywa pombe za njemba waliyekutana naye club kwa...
View ArticleSHILOLE AFUNGUKA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha.Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi...
View ArticleSHANGWE ZA SERENGETI FIESTA BUKOBA NI BALAAA,,SAIDA J USIPIME ONA HAPA
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Bukoba. MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa...
View ArticleMAKUBWA HAYA : WASTARA AOLEWA NA MWANAUME ASIYEMJUA
HiSTORIA KWA UFUPIWastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao.Staa katika...
View ArticleSERENGETI FIESTA BUKOBA ILIKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI!
Msanii wa kundi kijulikanacho kama International, Moses Nyama akiwaongoza wenzake wakati wa onyesho la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika jana jioni Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Tamasha hilo...
View ArticleUSHAURI WA BURE KWA WEMA SEPETU NA DIAMOND TOKA KWA H.BABA!
Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake...
View ArticleWANADADA WANAOKIMBIZA NDANI YA BONGO MOVIE KWA SASA
Salma Jabu(nisha) Jennifer Kyaka(Odama)...
View ArticleMAKAVU LIVE: MASHABIKI WA DIAMOND WAJA JUU, WAMSHUKIA AUNT KUMUHARIBU...
Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.Katika...
View ArticleIRENE UWOYA: HAKUNA VAZI NISILOPENDA KULIVAA KAMA CHUPI
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE....
View Article