RPC NJOMBE APATA AJALI NA MLINZI WAKE AFARIKI DUNIA
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ASP Fulgence Ngonyani.Na James Festo, Njombe.KAMANDA wa polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani pamoja na dereva wake Nuaka Seme wamelazwa katika hospitali ya...
View ArticlePICHA UZINDUZI WA SERENGETI FIESTA 2014 MWANZA
DOGO ASLAY BARAKADA PRINCEPICHA ZAIDI >>
View ArticleKili Music Tour ilivyofunika Mbeya
Mashabiki wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music TourZembwela na Dulla wa EATV katika amsha amsha kabla ya show kuanza.PICHA ZAIDI >>
View ArticleANGALIA PICHA ANAYETUMA PICHA ZA UCHI KWA WAUME ZA WATU KUPITIA FACEBOOK
HUYU NI MALAYA ANAE PIGA PICHA ZA UTUPU NA KUWATUMIA WAUME ZA WATU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII UKIMUONA HUYU sio mtu anataka kuteketeza maisha yako Kuwa makina na Huyu mtu Kwa mujibu wa Dada mmoja...
View ArticleANGALIA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIZUNGUMZIA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND
BOFYA HAPA KUIANGALIA VIDEO YENYEWE
View ArticleVIDEO:KWA MARA YA KWANZA HUYU NI VANESSA MDEE KWENYE JUKWAA LA FIESTA...
VIDEO IPO>>>HAPA << MDAU BOFYA HAPA KUONA
View ArticleWATU WATANO WA FAMILIA MOJA WATEMBEA KWA MIGUU NA MIKONO
FAMILIA moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na badala yake wanatembea mithili ya wanyama, wakitumia miguu na...
View ArticleSHUHUDIA UKATILI: AMWAGIWA UJI WA MOTO MKE WA BOSI WAKE, KISA KUHISIWA...
MSICHANA mmoja mkazi wa eneo la Minga katika Manispaa ya Singida (muuza duka), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri yake na kumsababishia maumivu makali kutokana na kile...
View ArticleNdege yaanguka Iran na kuua 39 ikiacha majeruhi 9
christopher mazali | 11:53 PM | 0 commentsNdege ya abiria ya shirika la Sepahan Airlines imeanguka nchini Iran na kuua abiria wapatao 39 huku ikiacha majeruhi 9 kati ya watu wote 48 (abiria na...
View ArticleSIRI IMEVUJA: NAY WA MITEGO NDIYE MWIBA WA NDOA YA WEMA NA DIAMOND!SOMA ZAIDI...
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platinum'.IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili...
View ArticleJACKIE CLIFF AYEYUKA GEREZANI...HOFU YA KUNYONGWA YATANDA, NDUGU WAHAHA!
Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka...
View ArticleTAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.
Nyota wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM...
View ArticleBaada ya Gwajima kununua Helikopta, Askofu Kakobe ameyasema haya
Gazeti la KIU Aug 1 2014Kama sehemu ya vyanzo vyako vya habari ni mitandao kama vile website, blogs, facebook, twitter na Instagram inawezekana hii stori ya Gwajima ambae ni Muhubiri wa Injili kununua...
View ArticleMAJAMBAZI YAUA MKE NA MUME, MTOTO AJERUHIWA HUKO NGARA!
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamiana kuwaua mume na mke na kumjeruhi mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyeachwa na mama yake aliyeuliwa katika tukio lililotokea kijiji cha...
View ArticleNDOA YA JIDE NA GADNER CHALI
Ndoa kati ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Gardner G Habash inasemekana kuwa imevunjika na inasemekana eti tayari Bwana Gardner ameondoka katika nyumba aliyokua anaishi na...
View ArticleMTOTO ANAYESUMBULIWA NA KANSA
Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata.kuna mengi kiasi kwamba kama mama umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa...
View ArticleMAITI YA YAWEKWA MOCHWARI CHINA MIEZI 8
Mwili wa Habiba Yusuph Ally ukichukuliwa kutoka uwanja wa ndege.VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa...
View ArticleSAKATA LA MUME KUMPA MIMBA MBWA, MAPYA MENGINE YAIBUKA
Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma. LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi wa Majhe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na...
View Article