Mwili wa Habiba Yusuph Ally ukichukuliwa kutoka uwanja wa ndege.VILIO, majonzi vilitawala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Agosti 7, mwaka huu kufuatia kuwasili kwa mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, Habiba Yusuph Ally (24) aliyefariki dunia kwa kubakwa nchini China miezi nane iliyopita.
Mwili wa Habiba Yusuph Ally (24) ukiwa katika jeneza eneo la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). PICHA ZAIDI>>