
Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’ imesambaa mtandaoni.

Picha ya Diamond Platnumz na Zari iliyosambaa mtandaoni, huku Zari akiwa amevaa kofia ya Diamond.SOMA ZAIDI>>>