KUNANI CHADEMA!!ZITTO KABWE NA DR.KITILA MKUMBO WAVULIWA VYEO VYAO NDANI YA...
Habari ambazo zimepatikana kutoka katika Kikao cha kamati kuu kinachoendelea katika ukumbi wa Jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ni kwamba Baadhi ya viongozi katika Chama Ngazi ya Taifa wamevuliwa...
View ArticleHILI NDO SAKATA LA JB "BONGE LA BWANA" KUFUMANIWA NA MKE WA MTU?? SOMA HAPA...
Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’.LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika sura...
View ArticleWAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA MSANII AY..!! SOMA HAPA WALICHOKIFANYA
Akaunti ya Twitter ya AY pamoja na email zake, zimekuwa ‘hacked’ na watu wasiojulikana.Kwenye akaunti yake ya Twitter, watu hao wameandika kuwa AY amesainishwa na Kanye West na kwamba ubonyeze link...
View ArticleANGALIA PICHA MWANAUME ALIYEOTA MATITI BAADA YA KUIBA MIFUGO.
A 40-year-old man from Nherera in Mhondoro, Zimbabwe suddenly grew breasts after he allegedly stole and sold some cattle.The Villagers believe the man identified as Acry Chinhivi Shayamano has been...
View ArticleZIDAN APIGWA NYUNDO YA MIAKA SITA JELA , DOMS KIDS HAPA
Mahakama moja nchini Misri imemuadhibu mchezaji wa zamani wa timu ya soka ya taifa hilo Mohamed Zidan kwenda jela kwa miaka sita baada ya kumkuta na hatia ya kutoa cheki tatu mbovu kwenye kampuni ya...
View ArticleDENTI WA KAPUYA AZUA JIPYA-GLOBAL PUBLISHERS WAZIDI KUMBANA
Global Publishers Ltd ilipoamua kufuatilia sakata la denti anayedai kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Juma Athuman Kapuya, lilijua yapo mengi yatajitokeza, Amani lina jipya lingine.Denti...
View ArticleAMA KWELI DIAMOND NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA .HATIMAYE VIDEO YAKE YA MY...
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu...
View ArticleMKE WA RAIS OBAMA AJUTIA KUVAA HIKI KINGUO.MWENYEWE AFUNGUKAA
American First Lady, Michelle Obama has travelled down the memory lane to a case that happened back in 2009 when she was spotted wearing shorts on Air Force One as she came out with her family during...
View ArticleWATOTO WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO NA WENGINE 3 WAPONA NI BAADA YA MAMA YAO...
Marian Guerrido, 23 aliyefanikiwa kutoka baada ya Gari hilo kukwama ziwani Marehemu Zenavia Rennie, 5 wakati wa uhai wake Marehemu Alarious M. Coleman-Guerrido, 7 wakati wa uhai wake Polisi akiwa...
View ArticleAIBU:MISS TANZANIA NA LIL WYNE WA BONGO WAREKODI MOVIE YA UTATA NA HII NDIYO...
KAMA WEWE BADO HUJAJIUNGA NASI, UNAWEZA KUJIUNGA HAPA MOJA KWA MOJA ONLINE <<<BOFYA HAPA NA LIKE PAGE YETU>> : TAZAMA PICHA HAPO CHINI LAKINI MASHRIRT NA VIGEZO KUZINGATIWA, PICHA HIZO...
View ArticleVIFO VYATOKEA NI WAKATI WA KAZI YA UOKOAJI UNAENDELEA BAADA YA KUANGUKA KWA...
At least 21 people have died and more are feared missing after the roof of a supermarket in the Latvian capital Riga collapsed.Rescue efforts continued through the night and police have launched a...
View ArticleVIFO VYATOKEA NI WAKATI WA KAZI YA UOKOAJI UNAENDELEA BAADA YA KUANGUKA KWA...
At least 21 people have died and more are feared missing after the roof of a supermarket in the Latvian capital Riga collapsed.Rescue efforts continued through the night and police have launched a...
View ArticleRAGE KWISHA HABARI YAKE, MAELFU YA MASHABAIKI WAFURAHISHWA KUONDOLEWA KWAKE
Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku imempiga stop Ismail Aden Rage kuendelea na ubosi katika klabu ya Simba na kulibadilisha benchi la ufundi isipokuwa nafasi ya meneja...
View ArticleWATANZANIA WAKIWEZESHWA WANAWEZA, TUPENDE VYA KWETU
United Power Point Ltd ni kampuniya ujenzi iliyopo Mkoani arusha waliobobea katika uuzaji wa Matofali ambayo inamilikiwa na mtanzania mwenzetu.Moja ya magari ya kampuni hiyoWatanzania Tujenge uchumi...
View ArticleHABARI KAMILI KUHUSU BABU SEYA NA PAPII KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA..SOMA...
Ni dhahiri kwamba huu ndio mwisho wa harakati za Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi Tanzania mwenye asili ya Congo DRC Nguza Viking na mtoto wake Johnson Nguza (Papii kocha) kujinasua kwenye...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA NAYE ATANGAZA KUJIUZULU
Salaam, Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki unaoendelea ndani ya Chama. Napenda ifahamike pia...
View ArticleZITTO KABWE AVULIWA VYEO VYOTE VYA KICHAMA!
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe.Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, Dk. Kitila Mkumbo na...
View ArticleWARAKA ULIOWAONDOA ZITTO KABWE NA KITILA MKUMBO HUU HAPA
MKAKATI WA MABADILIKO 2013 UTANGULIZI:Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu.Wa...
View Article