Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

WEMA, AUNT EZEKIEL NA RAFIKI YAO NICE WAWA GUMZO INSTAGRAM!

$
0
0
Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada. 

Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.PICHA ZAIDI>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles