Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

MASTAA IRENE UWOYA, JACQUELINE WOLPER, KAJALA WAWA GUMZO KWA PICHAZ HIZI!

$
0
0
UZURI HAUJIFICHI: Hawa ni miongoni mwa warembo kwenye tasnia pendwa na wadada wengi hapa nchini, tasnia ya filamu za kibongo.Wakiwa kwenye “pozi” moja lakini katika “moment” tatu tofauti.Warembo hawa, Jackline Masawe “Wolper”, Kajala Masanja na Irene Uwoya walidondosha picha hizi tatu mtandaoni juzi kati, nakufanya mashabiki kumwaga “likes” za kutosha huku kila mtu aki-“comment” kile anachoona inafaa ilimradi kuelezea hisia na mtazamo wake. 

Wengi waliwapenda na kuwasifia wote, lakini baadhi walimsifia mmoja au wawili kati ya hawa kuwa ndio amejaaliwa zaidi ya wenzake na hiki ndicho kilichonifanya name niwalete kwenu ili na nyinyi pia mjionee na kufunguka wazi wazi. BOFYA KWA PICHA ZAIDI>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles