MKUU WA MKOA WA MOROGORO ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCm mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries akiongoza maandamano katika hafla ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera na Naibu waziri wa ardhi nyumba na makazi Ole...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MADHARA YA NGUO ZA MTUMBA
Ni hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si...
View ArticleKHADIJA KOPA AVAMIWA
Baadhi ya vijana wakiwa wamelizingira gari alilokuwemo Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa na mwanaume aliyedaiwa kuwa tata.MASKINI! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa...
View ArticleCHEGGE AZIMIA BAADA YA KUNYWA POMBE KUPITA MAELEZO
AMA kweli pombe si maji! Njemba mmoja, Mwala Kibodi a.k.a Chegge (22) amejikuta akiwa ‘amevurugwa’ na kuzimia mtaroni baada ya kudaiwa kunywa mizinga minne ya pombe kali aina ya ‘konya’ au ‘ngumu...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 8 ALIVYOJARIBU KUMUOKOA BABA YAKE KWENYE AJALI YA GARI...
Mtoto wa miaka 8 alijaribu kufanya kitendo cha kishujaa kumuokoa baba yake ‘Roger Rodas’ dereva mstaafu wa mashindano ya magari aliyepoteza maisha kwenye ajali ya gari iliyochukua maisha ya star wa...
View ArticleHAYA NDIYO MAKOSA 11 ANAYOTUHUMIWA ZITTO KABWE NA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA
MASHITAKA 11 dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, yamebainisha kuwa kosa kubwa la kiongozi huyo kijana, ni nia yake ya kutaka kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Freeman...
View ArticleDU! WAATHIRIKA WA GONJWA HATARI LA UKIMWI WASUSA KUTUMIA DAWA ZA ARV's..!...
WAGONJWA 272,939 wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV’s). Kutokana na hali hiyo, virusi vya ugonjwa huo vimeanza kuwa sugu kwa kuwa havipati dawa za kupambana navyo....
View ArticleDU! WAATHIRIKA WA GONJWA HATARI LA UKIMWI WASUSA KUTUMIA DAWA ZA ARV's..!...
WAGONJWA 272,939 wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV’s). Kutokana na hali hiyo, virusi vya ugonjwa huo vimeanza kuwa sugu kwa kuwa havipati dawa za kupambana navyo....
View ArticleANGALIA PICHA YA MELI KUBWAAA KULIKO ZOTE DUNIANI,INA KIWANJA CHA...
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu cha kuifanya iwe jiji linaloelea kwenye maji.Wabunifu wa dhana ya meli hiyo...
View ArticleANGALIA PICHA COASTAL UNION WAKISHEHEREKEA UBINGWA WAO WA UHAI CUP 2013
Kikosi cha maangamizi kutoka kushoto waliosimama Nzara Ndaro, Gereza Mwaita, Ally Nassor, Mohammed Issa, Mohammed Rajab, Fikirini Selemani. Waliopiga magoti kutoka kushoto, Omar Mohammed, Mtenje...
View ArticleANGALIA PICHA 54 BORA ZA MWAKA HUU, YAANI LAZIMA USIKITIKE NA KUCHEKA
Miongoni mwa picha hizo zimo za tukio la kigaidi lililoitikisa Afrika Mashariki, la kuvamiwa kwa jengo la biashara la Westgate, Kenya.Hizi ndizo ‘The most astonishing pictures of 2013’ kwa mujibu wa...
View ArticleSAMAHANI KWA PICHA HIZI..!! MWILI WA MAREHEMU PAUL WALKER WA FAST AND FURIOUS...
Kwa mara ya kwanza mwili wa marehemu Paul Walker waFast 5 and Fast & Furious 6 umeonyeshwa kwa
View ArticleWATOTO WAWILI WABAKWA NA BABA MZAZI NA BABA MDOGO WAO HUKO TEMEKE
DUNIA haina huruma! Ukatili wa kutisha umewakuta watoto wawili wa familia tofauti wakidaiwa kubakwa na wazazi wao huku mmoja akifanyiwa unyama huo na baba yake mzazi na mwingine baba yake mdogo....
View ArticleTAKUKURU KWA KUSHIRIKIANA WADAU WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA WAANDAA TAMASHA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Megamark Ltd. Chedi Ngulu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya ushauri wa Umoja wa Afrika ya kupambana na Rushwa...
View ArticleTUNDA MAN AIRUDISHA BASTOLA YAKE POLISI BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA KUIMILIKI
Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya vyombo...
View ArticleSIFA ZA MTOTO WA KIUME NI KUGANGAMALA SASA KWA MWENDO HUU NA POZI HIZI KUNA...
Jamaa ameweka pozi hadi mtoto aliepembeni yake anashindwa kumuelewa kama ni kweli anachokiona au ni ndoto. Jamaa anajipendaje hadi kukaa kwenye kiti anahisi kama anaumia vile, na glass ya pombe...
View ArticleZIARA YA DK. SLAA MKOANI KIGOMA SASA NI KIZUNGUMKUTI...
Dk Willibroad Slaa.Kitendo cha kuwavua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo, kimesababisha ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk...
View ArticleMBUNGE AWASHUKIA WANAOJIUZURU CHADEMA
Safari hii Kila mtu akijita mwenyekiti wa CHADEMA HATA KAMA CHEO CHAKE HAKIPO KIKATIBA ,IMEKUWA DILI . ILIMRADI NDOTO ZAO ZA KUONA CHADEMA INAKUFA. LET ME BE CLEAR ON THIS, OUR PARTY IS MORE STRONGER...
View ArticleMAAJABU YASOME HAPA
Yahya akiwa ICU MOI.SIMULIZI za maajabu zipo nyingi na nyingine zinaendelea kuchukua nafasi, ila hii inaweza kuwa funga mwaka 2013.Mtanzania Yahya Msemakweli, 34, (pichani) alifariki dunia, akawekwa...
View Article