$ 0 0 Jamaa ameweka pozi hadi mtoto aliepembeni yake anashindwa kumuelewa kama ni kweli anachokiona au ni ndoto. Jamaa anajipendaje hadi kukaa kwenye kiti anahisi kama anaumia vile, na glass ya pombe aliyoishika mkononi anaiona mzito.