ANGALIA PICHA MTIBWA SUGAR WATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA YANGA
Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Iliyoanza Leo Dhidi Ya Yanga.Waliosimama Kutoka Kushoto : Salum Mbonde,Dickson Daud,Abdalah Juma, Ally Shomary, Shaban Nditi,Walioinama Kutoka Kushoto : Vicent...
View ArticleMO AAPISHWA RASMI BUNGENI
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji ( wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo...
View ArticleREHEMA: NILIMSHUHUDIA MUME WANGU JUMA AKIMBAKA MWANANGU WA MIAKA 9
Rehema Saidi akielezea kitendo alichofanyiwa mtoto wake.Newala. Kutokana na kumwamini mumewe, Rehema Saidi, mkazi wa kijiji cha Rahaleo, Kata ya Mkunya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, hakuwahi kutia...
View ArticleANGALIA KANGUO HAKA KALIVO MTIA AIBU DADA HUYU , KAJISAHAU KAKA PANDA JUU.
Kabla hujatoka kwako angalia kwanza kama nguo uliyovaa inastahili, ukishindwa kabisaaaa muulizemtu, jeeeee nikojeee..!!Niko sahihi..?
View ArticleSHAROBARO AFUMWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU ....TUKIO KWA PICHA NA...
SHABASHIII! Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa ndani ya gari akifanya uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ aliyejitambulisha kwa jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga...
View ArticleANGALIA PICHA ROSE NDAUKA,JERY SLAA NA MASTAA WENGINE WAKISAFISHA MITAA YA...
Hii ni kampeni ya Rose Ndauka ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia baadhi ya mitaa...
View ArticleKENYA NA MATUKIO YA WAKE ZA WATU KU*JIUZA, HII KALI SASA HIVI WANAJIUZA NA...
dunia ina maajabu mengi, nchini kenya uchafu unazid kuongezeka watu wanazid sahau mila nadesturi nzuri , baada ya bustani ya ng0no kuwa famous sasa waamia makanurini kufanya ujinga huo, baadhi ya...
View ArticleANGALIA PICHA NA MWANAMKE HUYU KUFUNGA NDOA NA MBWA WAKE BAADA YA KUACHANA NA...
Baada ya ndoa yake kuingiwa na jini kisirani na kupelekea kuachana na mume wake , mwanamke huyu muingereza aliamua kufunga ndoa ya kifahari na Mbwa wake.Mwanamke huyo aliejulikana kwa jina la Amanda...
View ArticleMHHHHHH!! SHAHAWA HIZI JE UNATAMBUA UMUHIMU WAKE HASA KATIKA MAHABA
Ukweli ni kwamba kiwango cha manii kinachotoka uumeni kwa kawaida huwa ni kiasi cha kijiko kimoja kidogo cha chai. Manii hayo huwa na mamilioni ya mbegu za kiume, hivyo hata kama yatatoka kwa...
View ArticleANGALIA PICHA YANGA WAPATA AJALI MIKESE WAKITOKEA MOROGORO
Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba...
View ArticleANGALIA MATOKEO YA AWALI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
Kutoka Kalenga Kunakofanyika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge wa Jimbo hilo hii leo. Matokeo ya AWALI nikama Ifuatavyo CCM kura 451,CHADEMA 261 NA CHAUSTA 2 BOFYA HAPA KUYAONA
View ArticleANGALIA AJIRA MPYA KUTOKA JESHI LA POLISI
TANGAZO LA AJIRA JESHI LA POLISI ,MACHI 2014KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu...
View ArticleMASKINI MREMBO WA KUTUPIAMO ZA UT*PU REHEMA FABIAN APATA GONJWA LILILOMUUA...
Rehema Fabian.NOOO! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009 Bongo, Rehema Fabian anasumbuliwa na tatizo la maini na mapafu kuharibika, ugonjwa uliomuua baba’ke.Akistorisha na mwanahabari wetu, Rehema...
View ArticleANGALIA MAJINA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI...
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA...
View ArticleAngalia Picha ya Mfungwa aliyekuwa akisubiria KIFO aachiwa huru
Picha iliyopigwa na mwanasheria wake, ikimuonyesha Bwn Ford, siku ya kwanza kama mtu huru baada ya miaka 30 jela kwa kosa ambalo hakufanya. Picha iliyopigwa na mwanasheria wake, ikimuonyesha Bwn Ford,...
View ArticleSHILOLE NA MADEE WALIVYONIKA MTWARA...NI SHIDAAA...!JIONEE MWENYEWE HAPA..
Kuanzia Kulia ni Shilole Baby a.k.a Beyonce akiwa na Madansa wake wawili wakike pamoja na Msanii Raymond wa Tiptop Conection waliweza kukonga nyoyo za Mashabiki wa Mziki huo wa Kizazi kipya Hapo jana...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA : MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA SHINGONI.
TAFADHARI PICHA ZILIZOPO HAPA ZINATISHA Na Mwandishi wetu,Geita yetu Blog WIKI moja baada ya Tanzania kuungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha siku ya wanawake duniani,kauli mbiu ikiwa ni...
View Article