Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

MAUAJI YA KUTISHA : MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA NA PANGA SHINGONI.

$
0
0
TAFADHARI PICHA ZILIZOPO HAPA ZINATISHA 
Na Mwandishi wetu,Geita yetu Blog   
WIKI moja baada ya Tanzania kuungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha siku ya wanawake duniani,kauli mbiu ikiwa ni "chochea mabadiliko kuleta usawa wa kijinsia" mkoani Geita hali imekuwa tofauti baada ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Modester Shija (55-60) mkazi wa kitongoji cha Kamlale,kijiji cha Nyawilimilwa kata ya Kagu wilayani hapa kuuliwa kikatili kwa kukatwa mapanga Machi 14,mwaka huu na watu wasiojulikana.BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles