TASWIRA MAREHEMU SHARO MILIONEA NAMNA ALIVYOKUMBUKWA KWA KISOMO KIJIJI KWAO...
PICHA hizi ni kwa hisani ya masainyotambofu.comR.I.P Sharo MilioneaMIMI na mama Sharo hapa nikimfariji Baada Ya Shughuli kwisha. Huyu ni mdogo wa Sharo milioneaUMATI wa watu wakiwemo wasanii wakielekea...
View ArticleHII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...
Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi...
View ArticleYALIYOJIRI:MKUTANO WA CHADEMA NA WAANDISHI WA HABARI
Mheshimuwa John Mnyika, Tundu Lissu na Benson Kigailla ndio wazungumzaji wakuu.Mnyika - amewaleeza waandishi kuwa sekritarieti ya chama ilikaa kikao chake jana kujadili mambo kadhaa ndani ya...
View ArticleANGALIA PICHA ZA ADHIMISHO LA KUZALIWA MDAU WETU JACKLINE RUTATORA
Mdau wetu Jackline Rutatora akifanya usafi katika makaburi ya kola mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya Shuguli alizoamua kufanya leo ikiwa ni adhimisho la kusherekea siku yake ya kuzaliwa.Mdau huyo leo...
View ArticleVIDEO: Msikilize Tundu Lissu akimsomea makosa 11 Zitto Kabwe ya kupanga...
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimewaandikia barua za kuwavua rasmi nyadhifa za uongozi aliyekuwa naibu katibu mkuu Mh. Zitto Kabwe na wenzie sambamba na kupewa siku kumi na nne za...
View ArticleVAZI JIPYA LINALOLETA UTATA HUKO KWA MAREKANI
Hivi karibuni kumekua na mzozo juu ya vazi jipya (hapo pichani) ambalo kama linavyoonekana linaacha sehemu kubwa ya mwili wa mvaaji(mwanamke) kuwa wazi.Vazi hili, ambalo inaaminika lilibuniwa huko...
View ArticleAlikuwa Mwanaume na Sasa Amejibadilisha na Kuwa Mwanamke.
Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika...
View ArticleFOLENI ZA DAR ZAMSABABISHA HUYU MBUNGE WA SINGIDA MJINI KUPANDA BODA BODA.
Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji leo amejikuta katika wakati mgumu kutokana na foleni kali ya magari.Hata hivyo akili yake ilichemka haraka na kuamua kusahau kuwa alitajwa kwenye orodha ya...
View ArticleKIGOGO MMOJA ANASWA AKIWA NA "MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI"
MZEE mmoja kigogo wa biashara ya kuuza mbao jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinaswa kitandani ndani ya chumba akiwa na mrembo aliyedaiwa ni mwanafunzi wa shule moja ya msingi Tegeta Wazo,...
View ArticleMNIGERIA MBARONI NA KILO NNE ZA DAWA ZA KULEVYA
Wiki moja tangu Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe atishie kuwafukuza kazi maofisa wa idara za usalama watakaobainika kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya kupitishwa katika Uwanja...
View ArticleLAANA KUBWA SANA HII:BAADA YA KULEWA POMBE AAMUA KUPIGA PICHA AKIFANYA...
\Wanasema Pombe sio Chai Mke wa mtu aamua kupiga picha za uchi akifanya mapenzi kwenye Gesti maarufu Jijini Mwanza.Inshu kamili ilikuwa hivi baada ya kuonekana mwanamke huyo ambaye kwa haraka...
View ArticleKIJANA MIAKA 32 ANASWA NA BIBI KIZEE MIAKA 80
KUNA mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza rekodi ya mambo yanayoshangaza, Risasi Mchanganyiko lina kila...
View ArticleHII NDO DALADALA ILIYO PAMBWA VIZURI KULIKO ZOTE AFRIKA MASHARIKI ..
The best: Inside Tela Bang matatu. Bernadine Mutanu, NairobiNews Little known Tela Bang, which plies Kayole route, won the best overall (Kenya I) award in the just concluded Nganya Awards.The awards,...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MTOTO MDOGO APASULIWA VIBAYA USONI
Wakati Dunia ikipinga vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto hapa nchini Bado vitendo hivyo vimeonekana vikiendeleea ambapo MTOTO Mmoja BENSON TOLE mwenye umri wa miaka Mitano...
View ArticleZITTO AMSHITAKI HENERY KILEWO POLISI KWA KUSAMBAZA WARAKA ONLINE
WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikimwandikia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe barua ya kumtaka ajieleze dhidi ya tuhuma zinazomkabili, yeye ameamua kukimbilia polisi...
View ArticleAPIGIWA SIMU NA SMS ZAIDI YA MARA 40 KUTOKA KWA SHETANI
Mama mmoja toka Colorado nchini Marekani alipokea simu ya ajabu usiku mmoja wa manane kutoka kwenye namba 1-666-666-666 na ndani ya masaa machache alipokea meseji nyingi sana kutoka namba tofuti...
View ArticlePICHA: MAITI HUFUKULIWA MAKABURINI ILI KUBADILISHWA NGUO HUKO INDONESIA
Pichani ni baadhi ya wafu waliofukuliwa kaburini na kuvishwa nguo Indonesia.KILA mwaka huko Tana Toraja, Indonesia, wafu (au maiti) hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo. Watu wa eneo...
View ArticleMSANII HUYU WA BONGO MOVIE AAMINI NDOA NI CHUO CHA MAFUNZO BAADA YA KUOLEWA.
Halima Yahya ‘Davina’.MSANII wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kujifunza mambo mengi ya maisha baada ya kuingia kwenye ndoa.Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kwamba...
View ArticleMTOTO ARUDISHA PENZI LA MONALISA NA TYSON LILILOVURUGIKA MIAKA MINGI ILIYOPITA
Imelda MtemaNDOA ya mastaa wa filamu Bongo, George Tyson na Yvonney Chery ‘Monalisa’ iliyovunjika kitambo, ilirejewa na uhai wa saa kadhaa katika shughuli ya kumpongeza binti yao mpendwa Sonia baada...
View Article