MWANANGU SIO FREEMASON - MAMA NEY WA MITEGO
Mama mzazi wa mkali wa bongofleva Nay wa Mitego ameongea kwa mara ya kwanza na na kusema ana wasiwasi na mwanae ambae hivi karibuni ametoa video mpya aliyoifanya nchini Kenya.Amekiri kweli kwamba siku...
View ArticleMUNGU WA KIHINDI ATENGENEZEWA KITAMBULISHO.
Maafisa wa utawala nchini India, wanachunguza ambavyo kitambulisho cha elektroniki kimetengezwa kikiwa na picha ya Hanuman mungu wa kihindi na kutumwa kwa njia ya posta.Kitambulisho hicho kina picha ya...
View ArticleWadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu...
Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Udaku Specially tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi...
View ArticleMSANII MILEY CYRUS ATUPIA PICHA AKIWA MTUPU BAFUNI
Wiki hii tuliandika habari kuhusu matumizi mabaya ya Instagram yaliyotajwa kuwa juu zaidi kwa watumiaji wa Tanzania.Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni havikubaliki zaidi na...
View ArticleDAWA ZA KICHINA ZILIVYOBABUA
Naitwa naomi, kweli niliposikua kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka, lakin sasa hv zimenitokea puani. Ukiona hizi picha jinsi nilivyoungua matako utazimia.
View ArticleVIDEO: OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JINSI ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SERENGETI...
Ommy Dimpoz akicheza wakati amelala na binti wa Shinyanga Ommy Dimpoz ambaye juzi alitimiza miaka kadhaa, alisherehekea siku yake ya kuzaliwa mbele ya mashabiki wa Fiesta wa mkoa wa...
View ArticleNEEMA KWA MABINTI WA KIBONGO DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA KAZI
Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka.“Sina madansa wa kike pale wawili ni wa Vanessa...
View ArticleNick Minaj Apata Aibu Kubwa Baada ya Tako Lake Feki Kuporomoka Akiwa Jukwaani
Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani....
View ArticleMAJANGA HAYA SASA: HUDA KATUPIA PICHA ZA VAZI LAKE JIPYA AMBALO LINAONESHA...
Msanii maarufu wa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake.....Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa...
View ArticleANGALIA VIDEO MWANAMKE ANAYEDHANIWA KUWA NA ULIMI MREFU KULIKO WOTE DUNIANI
Msichana Chanel Tapper, 21 wa Houston huko Us amethibitika kuwa ndiye msichana mwenye ulimi mrefu kuliko wote Duniani na kuingizwa katika rekodi za Guinness.Mwezi September 2011 alialikwa na Guinness...
View ArticleURAIS 2015: MASTAA WAWATAJA MARAIS
Na Shakoor JongoTANZANIA mwakani itaingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, rais atakayeingia madarakani kuiongoza nchi atajulikana hapo huku tayari baadhi ya wanasiasa wametangaza nia ya kugombea, wengine...
View ArticleWEMA SEPETU AMWAGA MIJIHELA USIKU MAALUM WA BIRTHDAY YA MR. JACK’S A.K.A JACK...
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel's akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel's kwa mashabiki wa...
View ArticleCHAZ BABA NUSURA AMUUE MKEWE!
Stori: Shakoor JongoPREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga na kitu kizito kichwani...
View ArticleMTOTO WA KITANGA CHUCHU HANS AJIGAMBA KUWA RAY HAPINDUI KWAKE!
Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans (katikati) akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar.Mahaba mahabani! Staa wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa staa mwenzake ambaye ni mwandani...
View ArticleMASANII WA BONGO FLEVA SHETA ATOA YA MOYONI ALIKUTANA NA MAMA KAILA KWENYE...
Msanii wa Bongo Fleva Shetta akiwa ndani ya ofisi za Global.WASANII WENGI WAMEMSAHAU MWENYEZI MUNGU, NI KAMA HAWANA DINI, MSIKITINI WALA KANISANI HAWAPAJUI. JE, WEWE SHETTA NI MMOJAWAPO? JOEL LUHWAGO,...
View ArticleAIBU TUPU: [PICHAZ] KIVAZI CHA JINI KABULA CHAWAACHA MIDOMO WAZI WATU! JIONEE...
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.AIBU 100%! Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga...
View Article