$ 0 0 Siku ya jana wakati PNC Shino alikuwa akijaribu kusaini kwenye account yake ya facebook, alijikuta anashindwa kufanya hivyo, na watu siku nyingi wameshaiiba na kuanza kupost vitu vyao, kuna status imewekwa na kuwachukiza mashabiki wake.SOMA ZAIDI