Mgeni rasmi Katika Maadhimisho Hayo Mkuu wa Wilaya Morogoro Mh Said Amanzi katikati akiwa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Faustini Shilogile Kulia, Pamoja na Msaidizi wa kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro ACP Laswai waliopokea maandamo yaliofanywa na jeshi la Polisi yanayohusu maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro ![]()
Bango lililobeba kauli mbiu ya ya jeshi la polisi katika maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa Kijinsia yaliofanyika Mkoani Morogoro yakioandaliwa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mashirika na asasi za kiraia.
Bango lililobeba ujumbe kuhusu ukatili wa Kijinsia
Umoja wa madereva wa bodaboda Mkoa wa morogoro waliongoza maandamano ya kupinga Ukatili wa Kijinsia
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa katika maandamano ya siku 16 ya kupinga Ukatili wa kijinsiaYaliofanyika Mkoani Morogoro.
Mshrehezaji kutoka Jeshi la polisi akitambulisha watu mbalimbali waliofika katika maadhimisho hayo