Msanii huyo alinaswa na ‘kiranja’ wa gazeti hili hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Vijana Social, Kinondoni jijini Dar kulipokuwa na tamasha la vipaji, alipofotolewa picha, aling’aka!.
“Sitaki picha bwana, wewe hujui kama nimetoroka usiku huu kuwa hapa! Naomba ufute hizo picha tafadhali, usiniudhi bwana,” alisema Mvungi huku akikwepa miale ya kamera.