Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

WAKENYA WAMCHANA LIVE DIAMOND WAMTAKA AMUACHE ZARI ARUDI KWA WEMA

$
0
0

Siku ya Juzi baada ya picha Diamond Platnumz kuvuja akiwa ndani ya lift akila denda na Zari The bos Lady mashabiki zake kutoka Kenya wamemjia juu Msanii huyo na kumuuliza kwa nini amuache Wema Sepetu Hizi ni baadhi ya coment kutoka kwenye Facebbok yake Msanii Diamond
Mary Mwaura: isnt true??? ati diamond dump wema sepetu to this ugadan chick...oh my GOD!!!! we are finish us ladys! please diamond dont dump wema..she left prezo 4 u...lol
Lovelyn Wa Kinyash: Diamond kwani una madame wangapiKhadija Mustafa: now who said dat evry man n woman together r dating!!???they cud jst b gud freinds or workmates!!ppo shud jst stop being so literal....n insults potrays immaturity!!riziki ya mtu ni ya mtu...huwezi iziba labda utaichelewesha tu!!
Malhotra Amrous: hahaha ofcause......that isnt all about how men should treat their ladiess itsss fur most too complicated than you can think of......!!

Omar Wonti: Dunia imekwisha!! Mtu anasifiwa kwa kufanya uzinifu na wanawake tofauti tofauti. Eeh Mungu tuepushe na balaa hili!! Mama mtu nae anafurahia tu uzinifu wa mwanae. Tukumbuke siku ya kukutana na Mola wetu!!BOFYA INAENDELEA >>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles