Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

WEMA SEPETU NA MSANII HUYU MKUBWA WAFANYA BALAAA…CHEKI HIZI PICHA TU ZA KIMAHABAAA

$
0
0

Wema Sepetu amesafiri hadi jijini Accra, Ghana kwenda kushoot filamu mpya na msanii mashuhuri nchini humo, Van Vicker.
Filamu hiyo inaitwa ‘Day After Death’, na inaongozwa na Vicker mwenyewe. Pia mtoto wa kike wa msanii huyo ataigiza kwenye filamu hiyo ambayo Vicker anaiita kitu chake kikubwa kijacho.
Kupitia Instagram, muigizaji huyo wa Ghana amemsifia Wema kwa jinsi anavyojituma kwenye filamu hiyo na anafurahi kufanya naye kazi.

“#MyNextBigThing I am excited abt our Ghana Tanzania collaboration. SOMA ZAIDI>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles