
Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu.
Msanii pendwa hapa nchini Tanzania na nchi ambaye ni Heat maker wa Mdogo mdogo maarufu kwa jina la diamond platnumz amepigwa marufuku na wasanii wa kizazi kipya mkoani iringa kwa kile kilichozaniwa kuwa diamond hana msaada wowote kwao wao kama wasanii, Ishue nzima ni msiba
wa mwanamuziki wa miondoko ya hip hop maarufu kwa jina la Geez mabovu wamekasirishwa na kitendo cha Diamond kuto kuandika chechote katika account zake za mitandao ya kijamii wala kutoa tamko lolote kama ameguswa na kifo cha msanii Geez mabovu wakati katika harakati za kutafuta nafasi ya kutoka kimuziki Diamond alimuomba Geez mabovu kufanya nae nyimbo ambapoSOMA ZAIDI>>>