Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

TAHADHARI PICHA SI NZURI: TAZAMA PICHA ZA KIJANA ALIECHARANGWA MAPANGA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI!!

$
0
0

www.paparaziwetu.blogspot.com

Tukio la kusikitisha na la kinyama  limetokea huko mjini Floplandia baada ya mahakama kumwachia huru mtuhumiwa wa ubakakaji  kutoka gerezani akiwa na hatia dhidi ya kesi hiyo iliyokuwa inamkabili.
www.paparaziwetu.blogspot.com
Kijana huyo ambaye jina lake limeifadhiwa alikutwa na mkasa huo ambao ulipelekea kupoteza maisha baada ya kutoka mahakamani kueleka nyumbani kwake, ndipo alipo vamiwa na wananchi wenye hasira kali wakiwa na silaha kali kama visu, mapanga na mawe na kuanza kupiga kwa kudai kuwa mbakaji hana ruhusa ya kuachiwa huru.
www.paparaziwetu.blogspot.com
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hili walidai kuwa kuachiwa huru kwa mtuhumiwa huyu inawezekana ni kwasababu ya kutoa rushwa ndiko kulikopeleka sheria kupindishwa na yeye kuwa huru wakati alikuwa na hatia hiyo ya Ubakaji.



Angalia picha zaidi za tukio hili.
www.paparaziwetu.blogspot.com
 Kidole cha mbakaji huyo kikiwa pembeni ya mwili wake.
www.paparaziwetu.blogspot.com
 Sehemu ya uso wake iliyo haribiwa vibaya na kitu chenye ncha kali.
www.paparaziwetu.blogspot.com

kidole cha mbakaji huyo kikionyesha kitufulani ambacho akikuweza kutambulika baada ya kufa.
www.paparaziwetu.blogspot.com

www.paparaziwetu.blogspot.com

sehemu nyingine za mwili wake ambazo zilikatwa na wananchi hao wenye hasira kali juu ya kukio la kuachiwa huru mtuhumiwa wa ubakaji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles