$ 0 0 Mtoto Anjela Rashid[4]amechomwa moto mikono yote miwili na baba yake mzazi baada ya kula finyango mbili za nyama zilizopikwa na Baba yake huyoJohn Msumba[3]ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na wakati wote kufungiwa ndani kwa kufuli pia kunyimwa chakula na shangazi yake ANGALIA PICA ZAIDI HAPA