DK. CHENI KUMPINDUA RAY UENYEKITI WA BONGO MUVI
Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’.UAMUZI wa kujitosa kuwania nafasi ya uenyekiti wa kundi la mastaa la Bongo Muvi kwa mwigizaji Mahsein Awadhi ‘Dk....
View ArticleMTOTO WA MBARAKA MWISHEHE NUSU AUWAWE BAADA YA KUPIGWA VISU NA WATU WAWIWLI...
MASIKU Mbaraka Mwishehe ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kuwashambulia kwa kisu watu wawili wa familia moja. Tukio hili lilitokea hivi karibuni Mwananyamala...
View ArticleDUNIA IMEKWISHA...!MAMA 32" ANGONOKA NA MWANAE 16" HUKU...
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miaka minne baada ya kutengeneza video ya ngono akifanya mapenzi na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 16.Mistie Rebecca Atkinson mkazi wa...
View ArticleBREAKING NEWS: BASI LA HOOD LA MBEYA ARUSHA LAPATA AJALI MBAYA MOROGORO
Kuna aliyebanwa hapa.Zinafanyika jitihada za kuchimba kumwokoa.Inasikitisha na kutia matumaini kumwona aliyebanwa kuanzia kiuno kwenda miguuni naye anajitahidi kuchimba kwa mikono. Ajali hii nimeikuta...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AELEKEA NCHINI MAREKANI KUFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE.
Rais Jakaya Kikwete---- THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya...
View ArticleMkalimani fake wa hafla ya kumbukumbu ya Mandela alazwa kwenye hospitali ya...
Thamsanqa Jantjie Mkalimani fake wa hafla ya kumbukumbu ya Mandela iliyofanyika December 10, Thamsanqa Jantjie amelazwa kwenye hospitali ya magonjwa ya akili ya Sterkfontein (Psychiatric Hospital).Kwa...
View ArticleKUFURU YA MWAKA...!DIAMOND AFANYA PATI YA UFUSKA DAR..
Diamond Platnumz akimmwagia manoti Halima Kimwana.KUFURU ya kufunga mwaka! Dogo anayejua kuzitumia vyema fursa muhimu, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefanya yake kwa mara nyingine, safari hii...
View Article.ASKARI WAMPA KICHAPO KITAKATIFU DEREVA DALADALA.
Polisi akimpa kichapo dereva daladala.WAKAZI wa mjini hapa wamekilaani kitendo cha askari wa kituo kikuu cha polisi baada ya kumpa kipondo na kumkwida hadi kumvua nguo hadharani dereva wa daladala...
View ArticleANGALIA PICHA MAJAMBAZI WATATU WAUAWA MKOANI SHINYANGA
Wakiwa mochwari hospitali ya wilaya ya kahamaANGALIA PICHA ZAIDI
View ArticleANGALIA PICHA ZA WATU WALIOAMUA KUCHEZEA ROHO ZAO
Huyu ni askari aliyeamua kukalia bunduki yake baada ya kusimama kwa muda mrefu...APA aponi mutu!!!..HII ni sitaili ya musikaki au nyama choma?..!KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE...
View ArticleMREMBO MWINGINE ATUPIA PICHA ZA NUSU NANILIU KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK,
KWA kutazama coment za watu walizotupia kwenye ukurasa wake wa facebook kupitia picha hii (((Bofya Hapa)))KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA...
View ArticleBUNGENI WAZIRI MKUU,KAGASHEKI,NCHIMBI NA SHAMSI VUI NAHODHA WABUNGE WAWATAKA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.WABUNGE wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi na Waziri wa Ulinzi na...
View ArticleMAAJABU MAKUBWA YA DUNIA: ALAMA ZA KUZALIWA ZAWACHANGANYA MADAKTARI BINGWA...
Birthmarks are discolored areas on the skin that appear at birth or shortly after birth.Most birthmarks are not cause for concern. In most cases doctors don’t know why birthmarks appear, and there is...
View ArticleBREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA LORI LA MNADA, YAUA WANNE NA MAJERUHI 28 HUKO...
Ajali hiyo inahusisha gari lenye namba za usajiri T 829 AHH iliyokuwa ikielekea katika soko la wiki maarufu kama MNADA. Gari hilo aina ya lori limepata ajali maeneo ya kijiji cha Ilolanguru mbele...
View ArticleGUUS HIDDINK KOCHA MPYA UHOLANZI
Guus Hiddink amesaini mkataba wa miaka minne na timu ya taifa ya Uholanzi. (HM)Kocha huyo wa kidachi amekubali kuchukua majukumu ya kocha sasa wa timu hiyo ya taifa Louis van Gaal baada ya fainali za...
View ArticleMBUNGE JOSHUA NASSARI AFICHUA SIRI NZITO ILIYOKUWA IMEJIFICHA NDANI YA CHAMA...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Bw. Joshua Nassari (CHADEMA), amesema Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya chama hicho, Bw. Godbless Lema yupo katika hatari ya kubambikiwa kesi.Alisema ipo mipango...
View Article