HIVI NDIVYO MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri...
View ArticleAUNT EZEKIEL, MSIBA WA GHAFLA WAZIMA BATA BATANI ZAKE NCHINI MAREKANI
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo wake aliyefariki dunia juzikati.Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel...
View ArticleMAPEDESHEE, CHIEF KIUMBE KAWAZIDI UJANJA
Mohamed Abdallah Kiumbe,'Chif kiumbe' mwenye kanzu yanjano.JINA alilopewa na wazazi wake ni Mohamed Abdallah Kiumbe, lakini baada ya mihangaiko yake huku na kule, akipiga hatua taratibu za maendeleo,...
View ArticleLULU AFANYIWA MAMBO MAKUBWA NA PEDESHEE WA JIJINI ARUSHA
Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya bilionea kutoka jijini Arusha (jina tunalihifadhi kwa...
View ArticleRAIS JK AKIKASIRIKA NYUMBANI KWAKE HUWA INAKUA HIVI.
Labda inawezekana hii ikawa mara yetu ya kwanza kusikia upande wa pili wa President wetu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae tumezoea tu kumuona akihutubia, akijumuika na watu...
View ArticleMATAJIRI WALIKUWA MASKINI,
Bill Gate.Ndugu zangu, hakuna anayeweza kuupinga ukweli kwamba, maisha ya sasa ni magumu, ugumu ambao kama mtu atabweteka na kushindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo upo uwezekano mkubwa wa kujikuta...
View ArticleAIBU TUPU: KIVAZI CHA KIHASARA CHA MSANII AMANDA WA BONGO MUVI
Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake.Msanii wa filamu, Tamrina Posh...
View ArticleHATIMAYE DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MENINA NA WEMA SEPETU
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah Atick.Diamond amesema kuwa tetesi hizo zimekuwa...
View ArticleKAJALA NI NOUMA: WAKONGWE RAY, JB WAMVULIA KOFIA!
Waigizaji wakongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Jacob Steven ’JB’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ wamempigia saluti muigizaji mwenzao, Kajala Masanja kutokana na filamu fupi aliyotengeneza ya Mbwa Mwitu.Staa...
View ArticleHAKUNA 'KAPO' KALI BONGO ZAIDI YA HII...NAITAMANI MPAKA BASI.
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila licha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa...
View ArticleAL-SHABAAB WATAKAVYOTUMIA UWANJA WA MWANZA KUTEKA NDEGE
HATARI! Uwanja wa Ndege wa Mwanza si salama na unaweza kutumiwa na magaidi kama Al-Shabaab kuteka ndege na kuua watu wakati wowote, ushahidi mzito huu hapa.Jengo la Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Upelelezi...
View ArticleMCHUNGAJI ASHTUA KWA KUMUOA BINTI MBICHI! MKASA MZIMA
MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’. Mchungaji Peter...
View ArticleMAMA KANUMBA AFUNGUKA MAZITO YA RAY, STEVIE NYERERE NA MWANAYE!
BAADA ya hivi karibuni siri kufichuka kwamba Kundi la Bongo Movie linateswa na laana ya marehemu Steven Kanumba, mama yake Flora Mtegoa ameibuka na kueleza mazito yakiwemo ya aliyekuwa rafiki wa...
View ArticleUKWELI KUHUSU "UKWASI" WA KAJALA!
Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika. Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na...
View ArticleAUNTY LULU AMWAGA CHOZI BAADA YA KUTENDWA
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki.Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu...
View ArticlePOST TATA ALIYOTUPIAMO WEMA SEPETU YAZUA SINTOFAHAMU KUBWA INSTAGRAM!
Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza...
View ArticleFAHAMU LIST YA WANAUME 15 WALIO KUWA KIM KARDASHIAN!
Vitu ambavyo watu wanavifanya chumani ni siri yako na mwezi wako lakini mara nyingi unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye lakini mikasa aliyoipata...
View ArticleWASTARA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO!
Wastara akiwapa zawadi ya bethdei kwa wanawake waliojifungua. …akiwafariji wakina mama waliofiwa na watoto wao baada ya kujifungua. Baadhi ya wakina mama wakiwa na watoto wao.Muuguzi, Agnes Temu...
View ArticleJIHAN DIMACHK NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss...
View ArticleDIAMOND APOST PICHA YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZITO!
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...
View Article