Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

KAJALA ALA CHAKULA CHENYE SUMU

$
0
0

STAA wa filamu za Kibongo,Kajala Masanja amekula chakula chenye sumu akiwa kwenye shoo ya msanii wa Bongo Fleva,Izzo B iliyofanyika hivi karibuni Club 71,iliyopo maeneo ya Tegeta.Kajala kupitia account yake ya Instagram aliandika..jana nilivyokuwa kwenye shoo ya izzo ghafla nikaanza kuumwa nikapelekwa home alafu nikaenda hospital nilivyo pimwa nikakutwa nimekunywa kitu chenye sumu lkn namshukuru mungu naendelea vizuri asante mungu kwa kila jambo...


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles