Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

ZITTO KABWE AENDELEA KUMKUMBUKA MAREHEMU AMINA CHIFUPA

$
0
0
Hii picha ni ya May, 2011 kipindi ambacho Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe alienda kutembelea kaburi la rafiki yake kipenzi Marehemu Amina Chifupa aliyekuwa Mbung wa CCM Kupitia Vijana Alipotembelea Kijiji Cha Lupembe, Mkoani Njombe. Mbunge huyo anaendela kumkumbuka Amina kila siku kwa ujasiri wake na matendo yake yakutaka mabadiliko nchini. Na hivi leo kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika maneno haya:



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles