Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Miss Tanzania mwaka 2004 Faraja Kota alivyomsifia Mme Wake Waziri Nyarandu"Wengine Washamba"

$
0
0

Miss Tanzania wa 12 tangu mashindano hayo yaanze nchini Tanzania Faraja Nyalandu Kota Miss Tanzania 2004, yeye aliolewa na mwanasiasa waziri wa
mali asili na utalii Mh Lazaro Nyalandu, sasa leo ndani ya 255 Miss Tanzania wa mwaka 2004 Faraja Nyalandu anafunguka jinsi walivyokutana na mheshimiwa mpaka wakaja kufunga ndoa.
Faraja Nyalandu Kota akafunguka anavyojiskia na anacho experience ndani ya ndoa na mwanasiasa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles