$ 0 0 Mambo ya binadamu bado ni gumzo katika mitaa mbalimbali duniani hapa nimekutana na kituko cha huyu mrembo eti hapa anafanya mazoezi ili aende club dah binafsi nimeshangaa Y