
Jay Z alishawahi kusema kuwa wasanii weusi wametoka kwenye maisha magumu sana ndio maana Rappers wa Marekani wanapenda sana kutumia pesa wanazopata kutoka kwenye kazi zao kununua vitu walivyo wahi kuota kuwa navyo. Kununua hivyo vitu kunawafanya wajione kama wamemaliza matatizo yao duniani. [Let Niggas Floss The Bling, Hiphop is like that now]
C.E.O Wa Cash Money na Young Money Birdmen amenunua vyoo vya gold na kuviweka chooni kwake. Aliandika hivi instagram