Kuna ajali mbaya sana hapa kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa.Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro.Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele.ANGALIA PICHA ZAIDI
↧
BREAKINGGG NEWS:Basi la Taqwa toka Zimbabwe lapata ajali mbaya sana Mikumi
↧