Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

PICHAZ...DIAMOND APAGAWISHA WATOTO LEADERS CLUB..

$
0
0
Diamond akitoa zawadi kwa mshindi wa nne katika kucheza wimbo wa Number One 'Ngololo'.

Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki wake ndani ya Viwanja vya Leaders jana.
Diamond akiwa na washindi wa kucheza 'Ngololo' ambao ni wanafunzi wa darasa la nne Rama (kulia) na Hamis (katikati). Diamond ameahidi kuwasomesha washindi hao kuanzia darasa la nne mpaka watakapomaliza elimu ya msingi
Diamond akicheza na mpenzi wake wa zamani anayedaiwa kurudiana naye, Wema Sepetu.
Mapaparazi wakichukia picha za wawili hao stejini.
Timu ya wasafi juu ya steji.
Mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Leaders Club.
Babu Tale (kushoto) ambaye ni kiongozi wa Kundi la Tip Top Connection akiwa na shabiki wake.
Shaffih Dauda pamoja na mwanaye (katikati) wakiwa na wadau mbalimbali.
Mmiliki wa banda la Facebook take away (wa kwanza kushoto), Sele Bonge 'Big Dad' akifanya yake Leaders.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles